Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Mechi ya leo sijui kwanini nakosa imani, May God Proves me wrong
Pole naona umekandwa kimoko
Mechi ya leo sijui kwanini nakosa imani, May God Proves me wrong
Full quote to come
Muda huu kajificha Kibandamauti anafyonza urojo.
Ila nyi mmepakatwa sana. Hamkuamka na hangova?aaaahtulia mpakatwe man u venye tulikuwa tunaumizwa na wakina Antony Taylor mlikuwa mnajichekesha chekesha kama malaya.
Tatizo kubwa la VAR ni inconsistency. Maamuzi wanayotoa leo mechi nyingine wanatoa hiviBinafsi hiyo kwangu ilikuwa ni umeme, wenyewe wamesema hapo faulo ni reckless na sio dangerous na akapewa yellow.
Bruno alimpiga mtu kiwiko hata hawakuwa na muda wa kuitizama.
Ila watu bana yan mnacrem sana kama mtu umeangalia mpira vizuri leo ...Kai alikua na strength kubwa ...he was very physical, alikua anaminyana sana na advantage yake ya kua mrefu ikasaidia sabab Newcastle kwanzia kati kurudi nyuma ni warefu na wanaphyical kubwa...Kai Haverts leo amecheza mpira sana acheni kukariri ujinga... Watu mnakariri lakini uhalisia hamsemi...Saka kacheza vibaya leo, jorghinho nae kwa kweli ni mtihani bado naona gundu lake linaendelea akicheza arsenal inakua haishindi...all in all that WAS NOT A GOAL...mpira kwanza ulitoka ule na pia Gabriel amefanyiwa foul nmeshangaa sana lile goal limekubaliwa ...kuna agenda naamini sasa kua pep wanataka wampe Hili kombe tena ili aje England this is too much inakua bora hata ligi ya bongo ina afadhal sasa maana wanaanza kujirekebisha na what's the point of having the best league halafu referees hawako fairArteta anakomaa na Havart kwasababu kapigwa pesa pale, ila Havart sio mchezaji wa kusaidia Arsenal au wa kucheza Arsenal
Hii game hapana.Sometimes upepo mbaya unapita. Juzi tu City alipoteza back to back kwenye game ya Carabao vs Newcastle kisha dhidi yetu kwenye EPL.
Tunajipangusa tulipoangukia, tunaanza upya. Focus ni jumanne kwenye UEFA against Sevilla then anakuja Burnley. Zote zitakua nyumbani.
Kwa Arsenal fans mliopishana kauli, malizeni tofauti zenu. Ndio kuna emotions lakini mwisho wa siku sisi sote tunaitakia Arsenal jambo moja brothers..
Ni sahihi kabisa, hatuwezi pindua matokeo leo tumekubali kufungwa na wapinzani ndio muda wenu huu kutamba.Tatizo kubwa la VAR ni inconsistency. Maamuzi wanayotoa leo mechi nyingine wanatoa hivi
Wajinga sanaI feel embarrassed to be part of this'
FT: Newcastle 1-0 Arsenal
Arsenal
Arsenal boss Mikel Arteta speaking to BBC MOTD:
"I have praised my players for the way they played and competed in this stadium against this team. The result should not be what it is - there are many reasons for that.
"If there was a team looking to win the game today it was Arsenal.
"Embarrassing what happened - how this goal stands, in the Premier League - this league we say is the best in the world. I've been 20 years in this country and now I feel ashamed. It's a disgrace and there's too much at stake here. We are trying to do incredible things and be at the highest level each week. When we're not good enough I hold my hands up and take responsibility.
"The outcome is nowhere near the level this league needs to have and the way this league is getting competed in. It's not good enough. I feel embarrassed to be part of this."
Sijaelewa mkuu unaposema wanataka kumpa Pep kombe ili aje Uingereza...maana yake akafundishe timu ya taifa auIla watu bana yan mnacrem sana kama mtu umeangalia mpira vizuri leo ...Kai alikua na strength kubwa ...he was very physical, alikua anaminyana sana na advantage yake ya kua mrefu ikasaidia sabab Newcastle kwanzia kati kurudi nyuma ni warefu na wanaphyical kubwa...Kai Haverts leo amecheza mpira sana acheni kukariri ujinga... Watu mnakariri lakini uhalisia hamsemi...Saka kacheza vibaya leo, jorghinho nae kwa kweli ni mtihani bado naona gundu lake linaendelea akicheza arsenal inakua haishindi...all in all that WAS NOT A GOAL...mpira kwanza ulitoka ule na pia Gabriel amefanyiwa foul nmeshangaa sana lile goal limekubaliwa ...kuna agenda naamini sasa kua pep wanataka wampe Hili kombe tena ili aje England this is too much inakua bora hata ligi ya bongo ina afadhal sasa maana wanaanza kujirekebisha na what's the point of having the best league halafu referees hawako fair
Hapo ndio uone connections zipo mpaka ulaya, yani mchezaji ambae hana uwezo yuko tayari kuvumiliwa na kucheza dakika zote 90 wakati kuna watu wanaoweza kucheza nafasi hiyo hiyo wakakupa kitu bora zaidi.Arteta anakomaa na Havart kwasababu kapigwa pesa pale, ila Havart sio mchezaji wa kusaidia Arsenal au wa kucheza Arsenal
Watazoea taratibuTuwakaribishe kwenye chama la vipigo kila weekend kwa heshima na taadhima,
Sisi ndugu zao Chelsea na Man U ,tushazoea hii hali
Imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ,sasa kazi kwao wakubaliane na uhalisia au tuwaletee visu wauane vizuri humu na matusi juu![]()
I feel embarrassed to be part of this'
FT: Newcastle 1-0 Arsenal
Arsenal
Arsenal boss Mikel Arteta speaking to BBC MOTD:
"I have praised my players for the way they played and competed in this stadium against this team. The result should not be what it is - there are many reasons for that.
"If there was a team looking to win the game today it was Arsenal.
"Embarrassing what happened - how this goal stands, in the Premier League - this league we say is the best in the world. I've been 20 years in this country and now I feel ashamed. It's a disgrace and there's too much at stake here. We are trying to do incredible things and be at the highest level each week. When we're not good enough I hold my hands up and take responsibility.
"The outcome is nowhere near the level this league needs to have and the way this league is getting competed in. It's not good enough. I feel embarrassed to be part of this."
Yeah rumour has it ...inasemekana FA wanajarbu kumkumbatia pep ndo mana man city wanakua favoured sana ..ili tu aje awe coach wa EnglandSijaelewa mkuu unaposema wanataka kumpa Pep kombe ili aje Uingereza...maana yake akafundishe timu ya taifa au
Bwana acheni kumuandama huyu mchezaji hajacheza vibaya leo na arsenal haijacheza vibaya umeona mpira mwenywe au hujui mpira bro...from all people umeona kai ndo flop leo? Likes za saka, Ben white mbona hamsemi...kai ni part ya arsenal na naona ana improve game to game acheni hizo banaHapo ndio uone connections zipo mpaka ulaya, yani mchezaji ambae hana uwezo yuko tayari kuvumiliwa na kucheza dakika zote 90 wakati kuna watu wanaoweza kucheza nafasi hiyo hiyo wakakupa kitu bora zaidi.
Kwani Arteta angesema ampe nafasi Trossard kucheza LCM badala ya Havertz kungekua na shida gani?
Unamuona kila siku Trossard anatokea sub kisha anakupa positives tu, malipo yake mechi inayofuata anapewa nafasi mtu mwengine.
Sawa Arteta unajaribu ku cover up your shit but si kwa dizaini hii.. Na sisi fans unatuchosha!