Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi naona kulikua na mkakati kwamba arsenal nae inabidi afungwe ili kuwe na usawa

Mkakati wao umefanikiwa ila malipo ni hapa hapa duniani

#COYG
 
Kikubwa ni kuomba Spurs apate draw...vinginevyo points 5 zitakuwa nyng kidogo....wamepanga kutumaliza kwakwli....nilicho notice sisi huwa magoli yetu karibu yte lazima wayaangalie kwa VAR ila matukio ya wapinzani wetu wakicheza na sisi huwa wanayapitisha juu kwa juu tu....mwaka jana tumeombwa msamaha mara mbili na Hawa PGMOL katika mechi zilizochangia kudondosha points...mwaka huu sijui tutaombwa msamaha mara ngapi...Hawa Nyukesto wiki ilopita wamesababisha refa kashushwa daraja kwnda huko Championship kuchezesha kwa kuwapa Penalty ya mchongo Sasa na hyu wa jana wakirudia sijui kama ataepuka adhabu...Bruno katupiga ngumi sana jana...yle forward wao anayebeba vyuma kamlamba makofi jana Gabriel Malgalhaes....yte hayo wakakaushia tu....yaani kazi ipo
 
Spurs ata akitupita points 10, atashushwa tu pale juu. Acha Kenge afe Kama ilivyoandikwa

Tumefungwa kwa dhuluma, alafu tupo normal tu like nothing happened
 
Imekuwa partey akiwepo tena , na si arsenal ina kikosi kipana kama mlivyokuwa mnapeana false hopes sasa ndo muda kuwaonyesha jinsi gani mnapeana false hopes.

Yaani et partey angekuwepo ivi mnafikiri ndo nyinyi tu mna majeruhi pekee yenu , sasa na sisi tukianza kusema bora angekuepo tonali, isak, barnes, botman , enderson na wengine kibao au tusingizie burns kaumia.

Timu kubwa inapimwa kwa fighting spirit iliyonayo na team inazocheza nazo ndani ya week 4 Newcastle kacheza na PSG, Dortmund, man city, man utd, westham , wolves na bado kafungwa game 1 tu still na injuries kibao .

Arsenal nyinyi hamna vyote team wala fighting spirit wala kikosi kipana mlichonacho nyinyi ni FALSE HOPE ONLY View attachment 2804049
View attachment 2804050
Acha kulialia mkuu , fanya ivii nembu unganisha hiyo picha hapo maana huna kazi za kufanya false hoper wewe
Binafsi huwa sipendi ku support na kutazama timu zenye matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili.

Mourinho, Simeon, na Eddie howe sio makocha ninaowapenda

I like Guardiola, cruyff, wenger and the likes, I love good football

We mwenzangu umevutiwa kipi na Newcastle?
 
Nyie kenge pale Emirates tumekuja last season mtu kanawa wazi wazi refa aka wave play on hata kwenda kwenye monitor aligoma kwenda mkashinda mkashangilia.

This is a boom maring it comes back
images%20(3).jpg
 
Sawa mkuu...ww tusengenye weee...ila plz sana kesho tunaomba mshinde kwa Hali na mali...hzo zilizobaki mdundwe ila kesho tafadhalini sana msituangushe🤠🤠🤠
Hahaaa ,eti forward Mbeba vyuma ,
Hehee ,unaleta watoto mlenda mlenda kwenye shughuli ya wanaume ,?
We vile vijeba vya Newcastle unafikiri unavidhiviti kwa kupiga vi pasi uchwara ?
Wale inabidi uweke majitu yenye mbavu ,ndio soka la leo lilivyo ,unavyocheza na timu ya kasi na yenye machezaji aggressive na mbavu kama Newcastle inabidi na wewe uweke watu mbavu na wenye kasi

Ndio maana ya kubalance kikosi ,unakuwa na majitu mbavu mwitu na kasi na watu wenye skills za mpira
...
 
Hili Jukwaa Mnaaminishana vitu ambavyo Havipo kabisa, TIMBER, ODE na PARTEY msimu huu hawana hizo Game nyingi Pamoja kusema kuna Muunganiko mnaukosa sababu hawapo,

Mmecheza na UTD ina Injuries za SHAW, RAPHA, Sajili ya MOUNT na HOJLUND bado hazijachanganya ukifananisha na RICE ila Hukuona watu wakilalama kumkosa flani japo Errors za VAR zilikuwa tena kubwa tu Goli la Garnacho, MERGALES alimbeba kabisa HOJLUND lakini hukuona watu wakitema MATUSI kama hapa mnavyofanya!
Nyie ARTETA kwenye Interview kuhusu TOT-LIV alisema MISTAKES Zinatokea kwa nini Jana asikubaliane na Kauli yake? CITY Key Player ni RODRI hukuona wanalalama walikubali Kipigo. Miwe Sour/Bitter Losers hii ni Football na hiyo ni 1 ya Matokeo yake.

Ukweli Mchungu ni kwamba ARSENAL ni timu Nzuri lakini sio TISHIO Kariba ya INVINCIBLES sababu ya CHARACTERS zilokuwa Leo Hii, Arsenal CPT ni ODE, ila tizama INVINCIBLES Timu yote walikuwa na Uwezo wa Kuwa Manahodha. Nadiriki kusema Players Wanaweza Ingia ARSENAL ya INVINCIBLES wanaweza wasizidi 3 {Kwangu ni RICE, SALIBA Mwingine Mmoja atakuwa SUB}.
Kuna Baadhi humu wanajua Mpira haswa hadi unajiuliza Inakuwaje mtu kama huyu naye anaingizwa kwenye falsafa za KINAZI kama za SIMBA na YANGA kwamba ni mazuri yetu tu!!
TUPENDE MPIRA TUSIPENDE TIMU.
 
Watu wanalalamika nature ya goli sio kufungwa....kwa sababu Kila mtu atafungwa...kwa mazingira ya Sasa ni ngumu ucheze ligi nzima bila kufungwa...ni ngumu sana...lakini Kila timu Ina wachezaji wake ambao wakikosekana kabisa unaona kitu kinakuwa kinapungua....City kwa Sasa ni Rodri... Liverpool waombee Salah awe mzima na Van Dijk...Chelsea ni Enzo na yule beki mtu mzima wa kibrazil.... Tottenham ni Son na Bissouma....kwhyo tutaongea kishabiki lakini huo ndo ukweli.... Arsenal kwa Sasa Ina miss uwepo wa Partey kwlikwli...Rice anapata tabu akicheza na Georginho....huo ndo ukweli...mechi ya jana binafsi sijasikitika kukosekana kwa Odegaard maana angekuwepo angepoteana...mpira wa vurugu hawezi yule jamaa...kile kikosi cha jana ni Partey tu....angekuwepo zile vurugu za wale ndugu zetu zingepungua zaidi na mipira ingekuwa inaenda mbele zaidi kuliko ilivyokuwa inarudishwa nyuma na Georginho
 
Wale ni kuzuia Bissouma na yule Sarr wasicheze...basi unakuwa umemaliza kazi....maana wale ndo engine ya wale jamaa....Nina Imani Caicedo mnyama na Gallagher mzee wa kazi chafu watanifanyia hii kazi....kesho nipo na nyny majirani🤠🤠🤠
Hatutawaangusha majirani ,tutakaza ,japo na sisi ni gari la mkaa aka new midtable
Hatutabirik
 
Back
Top Bottom