
USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
North London forever, WHATEVER the weather'. We've got you

Sehemu ya Wimbo pendwa sana kwa Arsenal Unaimbwa sana Uwanjani kabla , Kipindi, Na baada Match

Wimbo Huu haujaanza siku nyingi ni juzi tu je umetoka wapi nini sababu kuwepo

Credits ziende kwa Kocha Ameweza kurudisha Tradition (Tamaduni) Ameweza kurudisha Playing identity ( Utambulisho kiuchezaji) Ameweza kurudisha Team kwenye ushindani

Leo hii watu wanazungumza Arsenal kwa heshima sio tena ike banter error

Ulimsikia David Silva Anasema " Yeye kwa sasa Anaona Arsenal tu ndio inaweza kwenda toe to toe na Man city" japo ni maoni yake ila hayajaja hivi hivi Arsenal wameonesha kitu

Leo Arsenal Fans tunakaa kujadili Tactical Set up na vitu kama hivyo uko nyuma ilikuwa ni kuponda uongozi tu tumefika hapa sababu tumetengeneza Msingi na daraja bora kufikia malengo yetu

Of course North London Forever whatever the weather we have got you Arsenal
Amigo adios hermanos
View attachment 2745189