hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,285
- 26,685
N
Subiri TU BANG
Ndicho kitafanyika Sasa, hutasikia tetesi TenaVita ya top four inachezwa hadi nje ya uwanja, Arsenal ikimtaka mchezaji wengine wanakuja kama nyuki lengo kufanya bei ya mchezaji ipande ili budget isituruhusu kuspend kwenye other options, tukihusishwa na mchezaji utaona Spurs / chelsea/ Man utd wanafika haraka. Kama issue ya Raphinha Spurs wanamtaka wakati priority ilikuwa Richarlison. Spurs wameingia kwa Jesus/ Bentacur/ kulusevski/ Vlahovic wote walikuwa wanahusishwa kutua Emirates. Sajili inabidi zifanyike chini kwa chini kama usajili wa Fabio Vieira.
Subiri TU BANG
