computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,036
FACT Jesus sio mbaya ni anafight akiwa kwenye ground anything can happen asipoperform haitakuwa bahati yake coz usajili huwa kuna muda unaweza usilaumu management wala coach pia kuwa Brazil national player asilimia 100 huyo mchezaji ni class kubwa but sometimes kuna usajili unaona kabisa huu ni wa kipuuzi na mifano ipo okonkwo ,Lokonga but sio kwa JesusNaona ndio unajifunza soka nw unaanza kuwa mtabiri like sheikh Yahaya, big sign ngap zimefeli iwe ajabu huyu mchezaji? Tores from liver to Chelsea, hazard to Madrid, hayo ndio mambo ya usajiri so afunge asifunge mungu ndio anajua bt edu na arteta washafanya majukumu Yao au ulitaka wakusajiri ww babu?
kwenye squad without any proper information hili ndo la kujiuliza