Apo kwanza nichekeSi tupo hapa, dogo ni mbovu! Pep alikua anamsitiri sana.
Ndio nakwambia akifikisha goli tano niiteni mbwa.
ndio maana nikaandika "attempt to rape" ina maana pana, haimaanishi tu kwamba ni domo zege. harrassment kwa mdada inaweza kuwa interpreted kama attempt to rape. mfano ukiomba ukanyimwa halafu unaendelea kumghasi mrembo, kutaka kwa nguvu. Kosa lake kwa huku unaweza kulifananisha labda na kuua mtuHivi mtu kama Partey anakula £200,000 p/w anabaka vipi, with all the money at his disposal anabaka vipi sasa? Si unachukua mwanamke yoyote duniani au mimi ndio sielewi.
If at all ni kweli, huyu mwamba kaharibu maisha yake yote.
Mkuu hizo issue huwa zinatengenezwa...Hivi mtu kama Partey anakula £200,000 p/w anabaka vipi, with all the money at his disposal anabaka vipi sasa? Si unachukua mwanamke yoyote duniani au mimi ndio sielewi.
If at all ni kweli, huyu mwamba kaharibu maisha yake yote.
Mimi huwa siamini kwamba kwa status yake anaweza kubaka, huenda ni kama unavyosema kuwa kuna figisu nyingi ndani ya issues za namna hiyo.ndio maana nikaandika "attempt to rape" ina maana pana, haimaanishi tu kwamba ni domo zege. harrassment kwa mdada inaweza kuwa interpreted kama attempt to rape. mfano ukiomba ukanyimwa halafu unaendelea kumghasi mrembo, kutaka kwa nguvu. Kosa lake kwa huku unaweza kulifananisha labda na kuua mtu
Mkuu hizo issue huwa zinatengenezwa...
Unakuta Partey anadate na mtu kwa muda flani au hata anaweza kulala naye... Baada ya hapo anatafuta mwanasheria anatengeneza mazingira ya kuwa amebakwa..
Issue wanapeleka polisi..
Wanajua pesa itakuja tuu
Unaonekana unaumia so kaa nyuma ya spika then sikilizia mdundo wa Jesus.Si tupo hapa, dogo ni mbovu! Pep alikua anamsitiri sana.
Ndio nakwambia akifikisha goli tano niiteni mbwa.
Mchukueni nyie kwani nyinyi hamtaki vitu vizuri.Huyo jesus mmeliwa hela, hakuna mchezaji hapo. Ni bora mungemchukua lautaro Martinez ni striker mwenye uwezo mkubwa, nguvu, skills, kufunga n.k
Huyo jesus mmeliwa hela, hakuna mchezaji hapo. Ni bora mungemchukua lautaro Martinez ni striker mwenye uwezo mkubwa, nguvu, skills, kufunga n.k



yani arsenyeto bana yule hata simba hachezi Mbona mmewaandama arsenyetoNasikia mmekataliwa na Leeds na Raphinahii ni nuksi wazee.




Dah japo leo mmecheza kwa kificho ila tumejua bwanakuwa mmepigwa
![]()





Na leo wamebanduliwa 3:2