Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Pepe aondoke asiondoke ashaambiwa atafute timuPepe akiondoka ndio possibility ya RW kutua itakua kubwa
Anachokifanya arteta ni kuwa ukikutana na arsenal ni sawa umekutana na city
Kuna mpira mkubwa sana unatengenezwa kupitia blue prints za Wenger na Pep
Na ikitokea hizi nafasi mbili za RW na Kiungo tunaongezea. Hapo tutakua kwenye kupambania ubingwa, yeah title contender
Naona Odegard kuna jambo amepania msimu huu
View attachment 2296086
Zinny ni left back,martinez ni CB,Sio Maneno yangu aisee Ni kutoka Bodi ya Arsenal ,man u kapigwa €64m kwa Lisandro ,Arsenal Kaenda kubeba €35m Zinny
Kupanga Ni kuchagua
Zichenko hakua starter man city,ni chaguo la 3Kwanini tumefaidika kwenye usajili wa Zinchenko tofauti na kama tungemsajili Lisandro Martinez:
1. £35 mil only (Lisandro= £55miloverpaid by nyumbu- wamepigwa)
2. Mshahara kiduchu (Lisandro- mshahara mwingi)
3. Multiple positions. LCB, CM, LM & LWB (Lisandro- CB (🛇mfupi) & LB).
4. Ka prove kwenye EPL (Lisandro- Farmers league)
5. Starter kwa Arsenal (Lisandro- Backup kwa Arsenal, Starter kwa Nyumbu).
Martinez position yake ni left backZinny ni left back,martinez ni CB,
Zichenko ni proven EPLZichenko hakua starter man city,ni chaguo la 3
Watu wanaojitoa ufahamu kama hao sio wa kuwajibu wako kimahaba zaidi na timu zao kuliko uhalisiaZichenko hakua starter man city,ni chaguo la 3
olise dogo mzuri kinyamaBado Bench la Ufundi halijamuona Marquinho Kama msaidizi halis wa Saka,
Bado mgeni ndio Kwanza katoka Brazil, anahitaji muda ,nafas atapewa kwenye Carabao na Europa
RW wanayemtafuta Ni awe epl material ,ndio maana Uliona walienda kwa Raphina awali,
Hadi Sasa haijulikan Ni Winga gan anahitajika ,waandishi wamekosa jina KABISA
Tusubirin Suprise
![]()
Kwa pep hakunaga mwenye uhakika wa namba , ameshawahi kuwaweka bench aguero na Jesus ,halafu anaanza na kiungo as false 9Zichenko hakua starter man city,ni chaguo la 3
If any other club signed 2 city players with good credibility in one window, everyone would call it good business, but because it’s Arsenal people pick holesWatu wanaojitoa ufahamu kama hao sio wa kuwajibu wako kimahaba zaidi na timu zao kuliko uhalisia
Anajua Sana ,yule palace watataka €80m