NILIWAHI KUSEMA WIKI ILIYOPITA KWASASA DUNIANI KUNA UHABA MKUBWA WA CF ,
IWAPO CR7 ANAONDOKA MAN U NA KWENDA NJE YA EPL , NI WAZI MAN U NA CHELSEA ZINABAKI BILA CF WA MAANA ,ITAWALAZIMU KUTUMIA FALSE 9 .
Kitu ambacho Ni Risk kwa epl, Ni pep na Klopp ndio walithubutu kufanya hivo ,Lakin nao wamerudi sokon wamenunua typically CF ,Halland na Nunez.
Arsenal katika Scout yao walikuwa na majina ya Gabriel Jesus akiwa top kabisa kwenye list, kulikuwa na Gianluca Scamaca , Victor Osmhen ,
Kwa uhaba wa CF uliopo barani Ulaya iliwalazimu Liverpool waweke mezan karibu €80m kwa Nunez ambaye ana msimu mmoja mzuri ,
Ukienda pale Napoli , ukamuulizia Victor Osmhen a CF wakawaida tu basi Rais wa Napoli Ndugu Aurelio De Laurentiis anakwambia weka mezani €100m .
Ukienda pale Sasuolo ukamuulizia bwana mdogo Gianluca Scamaca ambaye bado haja prove chochote Cha maana utaambiwa weka mezani €50m.
Hii inaonesha kwasasa Kuna uhaba wa CF duniani, hii imepelekea Arsenal wasisite kutoa €50m(£45m) kwa Gabriel JESUS, kwanza ana uzoefu na epl ,pili Ni winner akiwa na mataji manne ya epl .
Mwisho had Jumapili iliyopita bado Kuna klabu zinahaha kusaka CF , zilimfata Gabriel Jesus aachane na Arsenal kabla hajatangazwa.
Fabrizio Romano anasema
Three clubs tried to hijack Gabriel Jesus deal until Sunday, June 26… but he always wanted Arsenal as priority. Now it’s finally official and confirmed. 🚨⚪️🔴 #AFC
Signed last week, delivered today. £45m to Man City. Contract until June 2027.
Huu Ni usajiri muhimu Sana kwa Arsenal