Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Hakuna kocha paleWasahau kabisa huwezi kuwa unataka ubingwa halafu ukawa una mentality ya kitoto kila msimu makosa unarudia yale yale.
Kiko wapi Arsenyani.Arsenal nyie tunajua ni suala la muda tu kutoka pale juu.
Arteta hawezi kubeba ubingwa Erik ten Hag na Pep wakiwa makocha kwenye ligi.
Muda ndiyo hakimu.
Leta data tena.Let’s not forget this First XI has lost ZERO games in the league so farView attachment 2533040
Haya basi kila timu ionyeshe kombe lake la msimu huu.Kwahiyo timu zikiambiwa zitoke na kombe nyie mtatoka na hilo koloboi cup?
Tumeona. 😂😂😂Arteta is JINIAS
Ni muda wetu sasa.Nzi hawatoonekana humu hadi wiki iishe hiiView attachment 2534243
Ni kweli mechi yenu vs Wolves ndiyo ina tiketi za gharama ila walionunua wanajuta sasa hivi.Kwa hili soka tamu tunalopiga Arsenal ,ndio maana ili uione Arsenal tiketi yake ni gharama
Hakuna timu EPL tiketi zake gharama Kama Arsenal ,
Which team has the most expensive ticket in EPL?
Arsenal
The most expensive match-day ticket was sold by Arsenal at 97 British pounds.
...
Dadeeki. Kula chuma hicho.Kama unadai timu yako inacheza vizuri
Basi angalia mechi za Arsenal ,utaona timu yako inarukaruka tu
Huyu fala polisi washughulike naye. 😂Pep alichotuzid ni longetivity tu ya kikosi chake kuliko sisi
Pep Sasa hivi hata akitufunga shuguli anaipata hata kumiliki mpira mbele ya Arsenal hawez
Haya huyo Pep wako ambaye akiongoza ligi hashuki yupo wapi kenge wewe

the self proclaimed 'giants' with midtable mentality 

Hii comment nilikuwa naitafta sana aise

kweli ukuu wa Mungu ni wa ajabu siku zote.Piga spana mkuu wametusumbua sana kwenye jukwaa letu hawa eti ten hag ni mhuni na mjanjaHawa mbwa hatuwaonei huruma hata kidogo, huwa wanakuja kutusumbua sana kule kwetu.


Pep ni katili sana.Kwan Arsenal hatuna uwezo wa kushinda game 10 mfululizo?
Man city ya pep haina ubora uo kwa msimu huu bro
SaSa ulitaka utoke wa 8 mpaka wa 1? Shukuru kuingia top 4. Hayo mengine ni majaliwaI have been an arsenal fan for 20 years na nimeshuhudia haya
Chelsea kachukua epl 5 times, man utd 5 times , Liverpool and Leicester city kila moja mara moja just imagine even Leicester city win the damn title !!!
Man city ambao imeanza kuwa timu ya maana 2010 imenikuta as arsenal fan kwa miaka 7 empty hands now man city imechukua epl 7 times ukijumlisha na msimu huu.
This year tuko ahead 8 points na games zimebaki 8 still tumeshindwa kubeba ubingwa !! Arsenal is not a team ni epl jokers team .
Huko uefa tunaenda kushirikii tu tukijitahidi sana ni 16 bora then holla!!! Haina maana kuwa washiriki wa uefa
Nimeona watu wanalalamika “ ooh we need classic players and not average players” hata hao classic player hawaweziii kuja arsenal kwasababu ni average team and not world classic team, how can you find world classic players on loser team like arsenal???…. World classic player gan atakubali kuja arsenal timu isiyokuwa na mentality yakua bingwa hells no!!!!
Newcastle hii ambayo inaanza kujengwa itachukua epl na arsenal still itakua bado haijachukua
Fabregas kaondoka arsenal kaenda barca akarudii chelsea akachukua ubingwa , RVP kaenda man utd akachukua ubingwa , sagna na clichy wameondoka arsenal wakaenda man city wakachukua ubingwa . Halaand kazaliwa kakuta arsenal haina ubingwa now anachukua ubingwa na cityhapa unajiuliza unashabikia arsenal ili iweje mpira mzuriii eti , arsenal inaizidiii city kwa mpira mzuriii hapana kwa makombe labda ya 1990 kwenda chini hukoo.
For 20 years i have been an arsenal fan, its the right time to say im no longer an arsenal fan!!!!!!!!
SO LONG , AND THANKS FOR ALL THE FISH!!!!!
Kinachonishangaza zaidi, kuna fans wa arsenyau wanakwambia kwao kuingia top 4 ndio kitu walichokua wanakitaka zaidi, hiyo nyingine ni bonus tu.
Sasa hebu soma hapa chini halafu niambie tofauti ya arsenal na norwich, leicester, brighton, fulham ni ipi in terms of mentality.
Mafanikio ya vilabu vikubwa msimu huu
Man city- Epl tittle (almost)
Man u- carabao cup
Real Madrid- copa de rey, Uefa super cup, FIFA club world cup
Barcelona-La Liga
Liverpool-Community shield
UPANDE WA 2
Bournemouth- kubaki ligi kuu
Newcastle-kucheza uefa.
Crystal palace-kubaki ligi kuu
Brighton- kucheza Europa
Brentford-kucheza conference.
ARSENAL- kucheza uefa.
Mtu mzima na akili zake anashangilia arsenal kufuzu uefa na wanaondoka trophyless baada ya kuongoza ligi kwa zaidi ya siku 200.
the self proclaimed 'giants' with midtable mentality
![]()