HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,676
- 7,139
Kwenye UShabiki haupaswi kutulia mkuu. Ukipata nafasi ya kufurahi na kujidai, itumie tu maana hujui vipigo vitakuja lini. Waone Liverpool na Chelsea walivyo hivi Sasa. Liverpool wameanza kupiga na wao so mashabiki Lazima waitumie hii fursaWatulie kwanza huo ni upepo tu
Najiuliza wangekuwa wanapiga soka hili Kama la Arsenal tungeishije
Huwa nawakumbusha timu yao bado inatembea na individual brilliance za rashford na juhudi za Degea
Ndio maana walipokuja Emirates tuliwaweka uchi lakini bado hawasikii kuwa waache kelele