hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunamtaka na Sterling maana mna wachezaji Hadi mnakosa nafasi ya kuwasajili wengine UCLTuongezeeni pesa kidogo basi kwa Jorginho.
Acheni ubahili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunamtaka na Sterling maana mna wachezaji Hadi mnakosa nafasi ya kuwasajili wengine UCLTuongezeeni pesa kidogo basi kwa Jorginho.
Acheni ubahili.
Mpira Mzuri FC kila siku kazi kuchambua mechi mlizoshinda kwa kigoli kimoja. 😂Ligi gani hiyo imeanza NOVEMBER?
mbona mnapenda kujitoa ufahamu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona tetesi kwamba mnamtaka STERLING.
Wekeni mpunga mezani.
Sisi tunajishukia zetu daraja. Tukutane kwenye mashindano ya FA
Unaongea kishabiki sanaKimbinu ,Ten jagi namuweka kundi la kina Unai Emery
Ni ukweli ambao mashabiki hamtaki kuusikiaUnaongea kishabiki sana
Mbona kama tunaanza upya hivi? Wataleta timu uwanjani kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]Gabriel Jesus gonna feel like a new signing View attachment 2533052View attachment 2533053
Yaani ndio Kama tunaanza ligi upyaMbona kama tunaanza upya hivi? Wataleta timu uwanjani kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2533065
Uyo kwio nasikia anamwaga long balls balaa na nusu [emoji91][emoji91][emoji91]Yaani ndio Kama tunaanza ligi upya
Hapa Jesus ,sub Kuna Trossard, nketiah
Hapa Partey sub Kuna Gorginho
AnabalaaUyo kwio nasikia anamwaga long balls balaa na nusu [emoji91][emoji91][emoji91]
WameyakanyagaNew signingView attachment 2533066
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira ni mbinu na akili. Arteta ile siku alizidiwa akili, mkubali au mkatae.
Sawa basi, Martinelli alifunga ni 3 - 2 nani anabaki na points 3? [emoji23]
Umeona jinsi gani Arsenyani mnashangilia vitu vitu vya kijinga, eti possession!!! [emoji23]
Watu tunaangalia ushindi tu, hayo mengine ni ya timu ndogo kama Arsenal.