Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yule Aaron Arsenal tuliyeambiwa kapoteza simu, siku ya ijumaa nilikuta kaposti komenti kwenye uzi wa yule jamaa anayeshangaa mademu kutongoza wanaume.

Nilikuta anauliza mbona yeye hapati hizo bahati za kutongozwa na wanawake?

Kutoka kuwa mchambuzi (uchwara) mpaka kuomba kutongozwa na wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]

Ateta kamatia hapohapooo.
huyo na hamis77 ni account moya[emoji16][emoji16] saize anakuja na ID tofauti tofauti anapiga mashambulizi kidogo anasepa.
 
Kinachonipa raha ni mnaokuja kutuzodoa humu.
Mwenye haki hiyo ni man city tu. Hivi chelsea,man u na liver huu ujasiri mnaupata wapi wadau
Tunao maana sisi kama manyumbu tushabeba carabao tupo na fa fainali tupo bado na big 4 Sasa sisi na nyie Nani kaupiga mwingi.
 
Jackwillpower yupo humu Jf kaamua nguvu zake ahamishie kwenye siasa last seen jana , jukwaa hili ni chungu kwake now.
IMG_20230515_121753.jpg


Yule jamaa Malcom XII5 kama sikosei na yeye yupo kusikojulikana.
 
"Arsenal tuna advantage sababu sisi tuna game week after week, wachezaji wana muda mwingi wa kurecover tofauti na city wana mechi kila baada ya siku 3, arteta is a genious"

Man City 4-1 southampton

2 days later City 3-0 Bayern

3 days later City 3-1 leicester

3 days later Bayern 1-1 City

3 days later City 3-0 shelffied utd

3 days later City 4-1 Arsenal

3 days later City 2-1 fulham

2 days later City 3-0 west ham

2 days later City 2-1 Leeds

2 days later City 1-1 Madrid

4 days later City 3-0 Everton

2 days later vs Real Madrid

ARSENAL

Arsenal 4-1 leeds

7 days later Arsenal 2-2 Liverpool

7 days later, Arsenal 2-2 west ham

6 days later Arsenal 3-3 Southampton

5 days later Arsenal 1-4 City

7 days days later arsenal 3-1 chelsea

4 days later: Arsenal 2-0 Newcastle

7 days later: Arsenal 0-3 brighton

7 days later vs nottingham


Nafikiri tunaona tofauti ya boys at work vs men at work.
 
"Arsenal tuna advantage sababu sisi tuna game week after week, wachezaji wana muda mwingi wa kurecover tofauti na city wana mechi kila baada ya siku 3, arteta is a genious"

Man City 4-1 southampton

2 days later City 3-0 Bayern

3 days later City 3-1 leicester

3 days later Bayern 1-1 City

3 days later City 3-0 shelffied utd

3 days later City 4-1 Arsenal

3 days later City 2-1 fulham

2 days later City 3-0 west ham

2 days later City 2-1 Leeds

2 days later City 1-1 Madrid

4 days later City 3-0 Everton

2 days later vs Real Madrid

ARSENAL

Arsenal 4-1 leeds

7 days later Arsenal 2-2 Liverpool

7 days later, Arsenal 2-2 west ham

6 days later Arsenal 3-3 Southampton

5 days later Arsenal 1-4 City

7 days days later arsenal 3-1 chelsea

4 days later: Arsenal 2-0 Newcastle

7 days later: Arsenal 0-3 brighton

7 days later vs nottingham


Nafikiri tunaona tofauti ya boys at work vs men at work.
🤣🤣🤣🤣🤣Factos Factos, wajaribu next season
 
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom