Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mkorea wa arsepimbi ndoo Halaand kiatu akamatwe apewe mashtaka ya ulaghai pmoj na hamis77 .

DullyJr anajificha kwenye jukwaa la mapishi kama nguchiro humu anapaona pachungu.
Naunga mkono.. Wajinga wajinga wote waliowadanganya wenzao wote watiwe nguvuni iwe fundisho kwa wapuuz wote kuacha kupotosha Washika mitutu wenzao.
 
Unaambiwa mpaka dakika hii hamis77 yuko kwenye mikono salama akilisaidia jeshi la polisi na intelijensia ya nchi kuelezea huo uhaini wao wa kujitangazia ubingwa kabla ya ligi kuisha na kuleta taharuki kubwa kwenye jamii inayowazunguka, mfadhili wao ni nani na malengo yao hasa ni yapi? View attachment 2622186

Hata kituo walicho mshikilia ndg yetu @hamiss77 hakijawekwa wazi maana tuhuma anazotuhumiwa nazo hazina dhamana.
 
I have been an arsenal fan for 20 years na nimeshuhudia haya
Chelsea kachukua epl 5 times, man utd 5 times , Liverpool and Leicester city kila moja mara moja just imagine even Leicester city win the damn title !!!
Man city ambao imeanza kuwa timu ya maana 2010 imenikuta as arsenal fan kwa miaka 7 empty hands now man city imechukua epl 7 times ukijumlisha na msimu huu.
This year tuko ahead 8 points na games zimebaki 8 still tumeshindwa kubeba ubingwa !! Arsenal is not a team ni epl jokers team .
Huko uefa tunaenda kushirikii tu tukijitahidi sana ni 16 bora then holla!!! Haina maana kuwa washiriki wa uefa
Nimeona watu wanalalamika “ ooh we need classic players and not average players” hata hao classic player hawaweziii kuja arsenal kwasababu ni average team and not world classic team, how can you find world classic players on loser team like arsenal???…. World classic player gan atakubali kuja arsenal timu isiyokuwa na mentality yakua bingwa hells no!!!!
Newcastle hii ambayo inaanza kujengwa itachukua epl na arsenal still itakua bado haijachukua
Fabregas kaondoka arsenal kaenda barca akarudii chelsea akachukua ubingwa , RVP kaenda man utd akachukua ubingwa , sagna na clichy wameondoka arsenal wakaenda man city wakachukua ubingwa . Halaand kazaliwa kakuta arsenal haina ubingwa now anachukua ubingwa na city hapa unajiuliza unashabikia arsenal ili iweje mpira mzuriii eti , arsenal inaizidiii city kwa mpira mzuriii hapana kwa makombe labda ya 1990 kwenda chini hukoo.

For 20 years i have been an arsenal fan, its the right time to say im no longer an arsenal fan!!!!!!!!

SO LONG , AND THANKS FOR ALL THE FISH!!!!!
Mkuu naelewa sana hasira zako.. Kiukwl tukiacha utan pemben Arsenal kuja had ichukue ubingwa wa ligi au makombe ya maana(I mean Uefa au Hata Europa) sio leo wala kesho.

Pa1 mapenz ya team ni ngumu kuacha lkn kama umeamua ilo asee bas krb city huku walau upoe kwa mda kdg ukienjoy raha ya kushinda maana kisaikolojia naona kbs ume give up khs ubingwa na Arsenal baada ya high hopes mlizokua nazo msimu huu..ningeshaur Dunian kote madaktar wawe krb na shabik wa Arsenal maana kwa hopes ambazo walizokua nazo weng wanaweza pagawa kua. Hata vichaa.. Weng walijua ni wkt wao.
 
Umefanya uamuzi mzuri, muachie hilo tambala bovu ndugu hamis77 limuue.
Unafikir huyu @hamiss77 bado ni mshabik wa Arsenal huyu hata saivi?

Huyu mzee ni shabik oya oya.. Ww shabik gn wa Arsenal kwny matokeo mabaya anajificha hatak hata kuonekana sehem yoyote.. Utasema vp huyu mtu hajaisalit Team bd.. Huyu @hamiss77 ni shabik maandaz au shabik oya oya yy alikuwepo tu kwny nyakat nzr nyakat Mby kamicha kwa mbio nyng sana.. Bora hata huyu mwenzake anayekuja kuandika bado hapa jukwaani kwao anatoa makala ya kuhama team...@hamiss77 huyu ni TERRORIST akamatwe awekwe ndan.
 
Yule Aaron Arsenal tuliyeambiwa kapoteza simu, siku ya ijumaa nilikuta kaposti komenti kwenye uzi wa yule jamaa anayeshangaa mademu kutongoza wanaume.

Nilikuta anauliza mbona yeye hapati hizo bahati za kutongozwa na wanawake?

Kutoka kuwa mchambuzi (uchwara) mpaka kuomba kutongozwa na wanawake

Ateta kamatia hapohapooo.
 
Mkuu naelewa sana hasira zako.. Kiukwl tukiacha utan pemben Arsenal kuja had ichukue ubingwa wa ligi au makombe ya maana(I mean Uefa au Hata Europa) sio leo wala kesho.

Pa1 mapenz ya team ni ngumu kuacha lkn kama umeamua ilo asee bas krb city huku walau upoe kwa mda kdg ukienjoy raha ya kushinda maana kisaikolojia naona kbs ume give up khs ubingwa na Arsenal baada ya high hopes mlizokua nazo msimu huu..ningeshaur Dunian kote madaktar wawe krb na shabik wa Arsenal maana kwa hopes ambazo walizokua nazo weng wanaweza pagawa kua. Hata vichaa.. Weng walijua ni wkt wao.
Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu imethibitisha kushabikia timu ya Arsenyani kunasababisha msongo wa mawazo hali inayochangia kwa kiasi kikubwa upungufu wa vichocheo vya homoni ya testosterone na kupelekea upungufu wa nguvu za kiume.
Hali hii huleta mfadhahiko kwa vijana wengi wanaoshabikia timu ya Arsenal na kupelekea wengi wao kujiingiza kwenye vitendo vya ushoga.
Screenshot_20230430_222826.jpg
 
Arsenyani ni sawa na tambala bovu, halifai kwa kazi yoyote zaidi ya kupigia deki.
 
I have been an arsenal fan for 20 years na nimeshuhudia haya
Chelsea kachukua epl 5 times, man utd 5 times , Liverpool and Leicester city kila moja mara moja just imagine even Leicester city win the damn title !!!
Man city ambao imeanza kuwa timu ya maana 2010 imenikuta as arsenal fan kwa miaka 7 empty hands now man city imechukua epl 7 times ukijumlisha na msimu huu.
This year tuko ahead 8 points na games zimebaki 8 still tumeshindwa kubeba ubingwa !! Arsenal is not a team ni epl jokers team .
Huko uefa tunaenda kushirikii tu tukijitahidi sana ni 16 bora then holla!!! Haina maana kuwa washiriki wa uefa
Nimeona watu wanalalamika “ ooh we need classic players and not average players” hata hao classic player hawaweziii kuja arsenal kwasababu ni average team and not world classic team, how can you find world classic players on loser team like arsenal???…. World classic player gan atakubali kuja arsenal timu isiyokuwa na mentality yakua bingwa hells no!!!!
Newcastle hii ambayo inaanza kujengwa itachukua epl na arsenal still itakua bado haijachukua
Fabregas kaondoka arsenal kaenda barca akarudii chelsea akachukua ubingwa , RVP kaenda man utd akachukua ubingwa , sagna na clichy wameondoka arsenal wakaenda man city wakachukua ubingwa . Halaand kazaliwa kakuta arsenal haina ubingwa now anachukua ubingwa na city hapa unajiuliza unashabikia arsenal ili iweje mpira mzuriii eti , arsenal inaizidiii city kwa mpira mzuriii hapana kwa makombe labda ya 1990 kwenda chini hukoo.

For 20 years i have been an arsenal fan, its the right time to say im no longer an arsenal fan!!!!!!!!

SO LONG , AND THANKS FOR ALL THE FISH!!!!!
Shabiki wa kweli hahami timu. Wewe ni glory hunter tu.
 
Arsenal wamefungwa magoli 42 msimu huu.

Man United wamefungwa magoli 41.

Arsenal wamefungwa Emirates mechi 2.

Man United wamefungwa Old Trafford mechi 1.

Man United wamefika fainali 2 za League Cup na kubeba Carabao Cup. Wapo top 4 na wanaweza kubeba makombe 2 mwisho wa msimu.

Kipindi chote cha msimu Arsenyani walikuwa wanajisifu kucheza mpira mzuri. Mtuambie sasa wenyewe kati ya timu yenu Arsenal na Man United, nani ana project nzuri na nani amekuwa na msimu bora?
 
Back
Top Bottom