Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,631
- 11,106
😂😂😂 Arsenal nasubiri sana siku mtakayocheza soka la viwango vya Dunia, hapa namaanisha Champions League.Hamna uwezo wa kutuzidi ,timu yenu bado Sana inacheza Kama middle teams tu
Katika miaka yote mnayoteseka United tumeonyesha ubabe wa ku-battle na vikosi vikali Europe kwa vikosi vya kawaida tu now tumerudi bado Arsenal ina-struggle kufuzu Champions League ambako mtaenda kupata vipigo vya 5 - 0 kama kawaida yenu.
Tupo levels za mbali sana kushinda Arsenal.

