Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumebebwa na bahati kwa muda mkubwa umefika muda wa sisi kujibeba wenyewe tumeshindwa kumaintain. Najaribu angalia Arteta kakosea wapi na ninabaki kwenye kusema labda ameshindwa kuizamisha winning mentality kwa wachezaji.
Squad depth ndio changamoto huwezi shindana na city ambayo haya kikosi B kinaweza beba ubingwa. Niliwahi sema mwanzoni mwa msimu nikatukanwa na kuambiwa depth sio muhimu maana Kuna wachezaji Wana chezea multiple positions.

Hivi unategemea kweli Holding ndio beki wa kukushindia ligi?? Hatuna natural RB aliye fit maana White kimahesabu ni CB so angeweza chezea badala ya Holding ila ndio tungekosa RB!! tayari ni tatizo.

Same to Saka au Odegaard sub zao ni Nelson na Vieira seriously? Au Nketiah kwa Jesus?? We need depth ndio tuanze kufikiria ubingwa. Hata msimu ujao tu focus kuwa na benchi imara kuanzia RB/RCB/CDM/ST. Unfortunately hii ndio ilikua best chance maana msomi ujao Newcastle, Man u , liver na Chelsea zitaamka so tunaweza hata tusimalize top 4.

So sad
 
Unakuta kabisa lishabiki linatutishia eti mna gemu ngumu anamuweka Newcastle


Huwa nacheka Sana ,
Huyu jamaa kachangia kwa kiasi kikubwa sana arsenyani tusiwapumzishe kupokea mashambulizi hapa ndani mdomo na kejeri zilikuwa nyingi.
Screenshot_20230427-073754.jpg
 
"Nacheka lakini naogopa." [emoji23][emoji23][emoji23]

Arsenyani acheni kuota, hamna uwezo wa kumfunga City Etihad. Ubingwa toeni kabisa kwenye mawazo yenu maana huu ndiyo muda wa Pep kufanya vitu vyake.

Haaland kiatu.
Arsenyani kondoo.
Mliambiwa hapa mkawa wabishi matusi na kejeri zilikuwa zenu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate

Tutamfanya hamna hapo kwake


Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city

Nyingine na kiande yeyote

Uwezo tunao Nia tunayo

Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa

Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana


Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
Ila wewe jamaa hamis77 ni kiazi sana umewaponza wenzio kwa maneno yako hafu umekimbia hapa[emoji16][emoji16]

Ila Mungu mkubwa nyie na ana miguvu kweli kweli thanks God Sijui tungewezaje kuishi hapa ndani kwa izi kelele[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe hamis77 ni muoga mshenzi na kima wewe ni mamluki.
Screenshot_20230427-073754.jpg
 
Hii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwa

Ila majority wakasema manjesta ndio taito contender


Kwahiyo hata Sasa tunahubiri ,City anaenda kufa kwake mapema Sana akikaza draw


Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa imebaki

Kwasasa subiria WIN 7 mfululizo
Eeh mkuu ikawaje baada ya hapo[emoji16][emoji16]

Kilichofata bwana hamis77 ni[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Baada ya kupoteza Vs City tumepiga WIN 7 DRAW 1

Kesho tunaanza Tena WIN 7 DRAW 2

Halafu mtaniambia Huyo bwana wenu city atabebea wapi huo UBINGWA
Sawa sawa[emoji16][emoji16][emoji16]

Ndugu mtazamaji Kula chuma icho.
Screenshot_20230427-073754.jpg
 
Leicester ka create xG kubwa kuliko city

Big chances kuliko city

Wangekuwa makini wangeshinda au Sare

Mashabiki wengi hasa manjesta na baadhi wa chelkenge wanatupigia kelele humu ,mpira hawaangalii

Huyu city bwana wenu tutamtafuna vzr Sana ,

Narudia tunahitaji draw 2 tu katika mechi tulizobakiza ,hiyo Ni minimum tu


View attachment 2589074
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Eti wanasema hatujacheza na man city, kwani huyo man city amecheza na sisi....?

Atapigwa tu... [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

A London derby awaits [emoji110][emoji110]
Arsenal play today and the whole world [emoji289] is happy [emoji7][emoji7]

[emoji739] West ham
[emoji3497] 16:00
[emoji2522] London stadium
[emoji471] Primier league

YaGunnersYa [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2589566
Tupe mrejesho mkuu ikawaje[emoji16][emoji16][emoji16]

Mrejesho muhimu kwenye Mambo kama haya.
 
Brighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki

Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo

Jana ziligawia pipi pale kati

Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard

Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)

Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi

Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi

Halafu anaitwa magwaya mara guehi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jana kuanzia wewe na timu yako na de zerbi wako wote mmekandwa aise.
 
My remaining fixture prediction
👇
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
My remaining fixture prediction
👇
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
TAITO KUNITENDA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes, we're title contender. Au kwako timu kuwa title contender unaelewaje?
 
Yan huyu jamaa ukikuta kwny majukwaa ya wenzie anavoielezea Arsenal.. Kama ww hauangalii mpr unaweza dhan anaongelea team ambayo ni htr sana kuwah kutokea kwny uso wa dunia [emoji23].

Saivi aliko huyu jamaa hamis77 ni Mungu pekee na cabinet yake ndo wanajua na wanaweza kumpata na kumtoa huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasemekana hamis77 amefuta kabisaaaa App ya JF na kuchomoa battery kwenye kishikwambi chake, sasa hivi anatumia kiswaswadu kukwepa usumbufu.
 
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
Kama Team tumekuwa kimalengo,mwakani ndio ingekuwa kipindi chetu cha kugombea ubingwa,ila mwka huu tumejaribu kupigania ubingwa. kwa miaka saba ataja shiriki klabu bingwa leo kurudi ni mafanikio makubwa sana.walichotuzid man city sio ubora wa mbinu za kocha ila quality ya mchezaji mmoja mmoja na squad depth,ukweli kusema hata xhaka sio first team player,pale man city kuna kipindi hata ruben diaz alikuwa anakaa benchi maana yake anapumzika kikija kipindi ambacho season imekolea ndio wanarud wanakuwa na nguvu zaidi.arsenal hatuna nguvu ya kumweka mchezaji benchi aliyetoka kupiga hart trick kama mahrez.ni Kweli kwamba ARTETA anachangamoto zake kama vile kukariri wachezaji kwenye position fulan hata kama game inakataa(na hisi hii kaitoa kwa wenger) ila bado ni kocha zaidi kuifikisha arsenal kuchukua epl
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom