Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,484
- 35,638
Tulia we jamaaView attachment 2600954
Dedication kwa wale wote waliowahi kutandikwa na kijana mdogo kutoka mitaa ya Etihad.
Ila zaidi umfikie bwana Castr .
Ila nyumbu ni wajinga sana.
Naendelea kuhesabu mechi.
Kuna level ambayo arsenal mushaweza kuifika ila sisi nyumbu sijui tutaifika lini.
Nazungumzia Uwezo wa kwenda jino kwa jino na man city kwa upande wa kumiliki mchezo.
Tumebebwa na bahati kwa muda mkubwa umefika muda wa sisi kujibeba wenyewe tumeshindwa kumaintain. Najaribu angalia Arteta kakosea wapi na ninabaki kwenye kusema labda ameshindwa kuizamisha winning mentality kwa wachezaji.That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sanahamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?
reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
Frank LampardTumebebwa na bahati kwa muda mkubwa umefika muda wa sisi kujibeba wenyewe tumeshindwa kumaintain. Najaribu angalia Arteta kakosea wapi na ninabaki kwenye kusema labda ameshindwa kuizamisha winning mentality kwa wachezaji.
Nimesema labda kwakua kwenye game dhidi ya southampton baada ya kufungwa goli la pili Zinchenko akawaita wenzake. Game dhidi ya Westham baada ya Saka kukosa penat alikuja kuomba msamaha na kuahidi kujirekebisha.
Am simply saying mentality is there. Pengine haipo kwa 100% but its there. Tatizo lipo hapa Odegaard lwa game ya jana na iliyopita alikua hovyo kwanini hatolewi? Swali laweza kua akitolewa ataingia nani?
Sisi kutokuepo kwenye mashindano mengi siyo sifa nzuri it simply means hatuna kikosi kinachofanania uwezo kinachoweza shindana kwenye ligi na huko kwingine. Same na liva ilivyokua kisha kocha wao akaclaim hawadeal na trophies ndogo.
Katika games hizi nne with proper game planning tungenyanyuka na points nane. Westham na Southampton ni must win games, Liva double chance kwa city ni kuja kupaki basi.
Anyway, assume Arteta anaondolewa leo nani atakua mtu sahihi kuja pale?
Me siongei sana, ila Man City hiyo jumatano anabondwa palepale kwake huwezi amini












Arsenal maumivu kwetu kama burudani TU, Yani hiyo J5 tunaenda kujilipua hapo Etihad Hadi nzi wote watakimbia humu
BTTS✅️For punters it's a;
2.5 over
BTTS
0.5 over away
1 or 2
7.5 corners over
1st Goal home.
You name it.
Mkuu nipo haiNyie ndo huwa mnajinyoga kuna vitu vingine unatumia tu akili unaweka pembeni mahaba uliyonayo kwa timu yako ndugu.Ongopa City ni kitu ingine inatisha kinomanoma yaani.tafadha ukiamka kesho tujulishe tujue kama uko hai.