Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Good Ebening...
Hii mechi yetu dhidi ya City Mikel Arteta angemjaribu Partey kwenye nafasi ya Saliba na pia Jorginho acheze #6. Kuna vitu huwezi kuona thamani yake paka Vikuondoke, wale team Partey nadhani tumeona mchezaji yupi ni ufunguo baada ya Saliba kuumia, quality ya Saliba na holding ni nchi na mbingu.
Timu ina struggle kwenye build up
Timu inakosa control
Timu inakuwa chini muda mwingi, si kwenye key zones ambazo zinafanya tufunge magoli km tulivyozoea.
Nope, mechi city haihitaji try and error maybe another match
Arsenal n kikund cha wahuni kilichoamua kuleta fujo EPLvipi tuendelee kusubiri another match?


















Hivi kwa mafanikio ya pochettino spurs kuwa UCL regulars ulitegemea angefukuzwa? Au mafanikio ya Lampard msimu wake wa kwanza Chelsea maana wali over perform ila misimu iliofuata walikutana na reality. And that's exactly kitamkuta Arteta maana kikosi kina fatigue na hakuna depth.This is a mere prediction mkuu,yes arteta anaweza fukuzwa kama kocha mwingine yeyote ila kupata kocha aina yake sio kitu rahisi.ndo
Ni kweli hatuwezi pata kama yeye lakini washabiki wakianza Zile Wenger-Out au Emery-Out unadhani timu itamtoa nani kafara kama sio Arteta. Yes msimu ujao atapewa mamilion ila ndio hivo luck, consistency, na afya za wachezaji msimu huu haziwezi jirudia msimu ujao.ndo maana unaona timu kubwa zinatapatapa kupata makocha bora.
On paper unafikiri ni team ngapi zinaizidi juve kwa ubora wa kikosi?where are they? Japo hawako pabaya ila hawapo wanapostahili kuwa
Kweli?Arteta kuendelea kumchezesha Partey badala ya Jorginho ni wendawazimu.
Huwa unaangalia mpira au ndo umeangalia mechi ya jana tuArteta anamuekaje Bench kiungo kama Jorginho kwa huyu Thomas partey? maamuzi ya ovyo mno
Hawa wawili walivokua wanaongea na kuzunguka majukwaa ya watu kupiga porojo za vijiweni khs namna gn Arsenal inapress na kuoverload wapinzan.. Wamewaingiza wenzao mgenge leo hii wamekimbia wameacha balaa zito kwny jukwaa likiwa kwny ambush ya sisi mabaharia wenye roho Mby ya kigirikiEnhe na wewe yuza umefika wapi na mwenge wako mbona kijijini kwetu hatujauona.
.Huyu jamaa alienda mbl zaid na kuweka utabir wa Correct score kbs kana kwmb kaongea na Mungu vile.My remaining fixture prediction
Arsenal 4-1 Westham
Arsenal 4-0 Southampton
Arsenal 2-2 Man City
Arsenal 3-0 Chelsea
Arsenal 2- 1 Newcastle
Arsenal 2-1 Brighton
Arsenal 3- 0 N.Forest
Arsenal 4-0 Wolves