Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kima nyie mnajitangazia ubingwa wakati points mlizonazo ni za kuwaepusha kushuka daraja[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya wazee wa Taito Kunitenda Kiko wapi sasa?
tapatalk_1107005034_388x512.jpg
 
Squad depth ndio changamoto huwezi shindana na city ambayo haya kikosi B kinaweza beba ubingwa. Niliwahi sema mwanzoni mwa msimu nikatukanwa na kuambiwa depth sio muhimu maana Kuna wachezaji Wana chezea multiple positions.

Hivi unategemea kweli Holding ndio beki wa kukushindia ligi?? Hatuna natural RB aliye fit maana White kimahesabu ni CB so angeweza chezea badala ya Holding ila ndio tungekosa RB!! tayari ni tatizo.

Same to Saka au Odegaard sub zao ni Nelson na Vieira seriously? Au Nketiah kwa Jesus?? We need depth ndio tuanze kufikiria ubingwa. Hata msimu ujao tu focus kuwa na benchi imara kuanzia RB/RCB/CDM/ST. Unfortunately hii ndio ilikua best chance maana msomi ujao Newcastle, Man u , liver na Chelsea zitaamka so tunaweza hata tusimalize top 4.

So sad
Kauli ya kusema timu zingine zitaamka na kuifanya arsenal ilale iyo sikubaliani nayo kabisa, ubora wetu ndio umetuweka hapo tulipo sasa, wao watatukuta tulipo na najua kuna ongezeko la wachezaji zaid msimu ujao kwaiyo ukitegemea wao wawe bora fikilia na sisi tutakua bora kuliko tulivyo sasa, iyo ni mentality ya uoga, kitu cha muhimu ulichosema ni upana w kikosi basi tena wachezaj wenye ubora mkubwa ..
 
Hapana mkuu kwenye Mpira unategemea pia weakness za wenzio kufanya vizuri. Hata msimu ambao Leicester alibeba ligi timu zote kubwa zilikua hovyo ndio maana alibeba ndoo kwa point chance mnoo kulinganisha na mabingwa wengine wa EPL.

Mfano msimu ujao tunaweza pata injuries kwa watu kama Saka, Odegaard ama Martinelli tayari msimu unafia hapo. Au say Chelsea ikapata kocha mzuri, kwa kikosi chake tu wanaweza fikisha 80+ points, hapo Bado Newcastle itamwaga pesa kuongeza depth and so will Man UTD na Liverpool so usitegemee ubora wetu pekee utatubeba sometimes na failure za competitors zinakubeba.

Pia Kuna kitu kinaitwa fatigue, ukipambania kitu sana ukakikosa morale yote inakufa. Imagine tumeongoza ligi kwa almost Kila wiki alafu Bado tumepoteza ubingwa unadhani mwakani fighting spirit inatoka wapi? Saka atakua gassed out, Odegaard motisha itashuka, ndio Mpira ulivyo. Unfortunately our time has passed usishangae Arteta akatimuliwa msimu ujao.
 
Squad depth ndio changamoto huwezi shindana na city ambayo haya kikosi B kinaweza beba ubingwa. Niliwahi sema mwanzoni mwa msimu nikatukanwa na kuambiwa depth sio muhimu maana Kuna wachezaji Wana chezea multiple positions.

Hivi unategemea kweli Holding ndio beki wa kukushindia ligi?? Hatuna natural RB aliye fit maana White kimahesabu ni CB so angeweza chezea badala ya Holding ila ndio tungekosa RB!! tayari ni tatizo.

Same to Saka au Odegaard sub zao ni Nelson na Vieira seriously? Au Nketiah kwa Jesus?? We need depth ndio tuanze kufikiria ubingwa. Hata msimu ujao tu focus kuwa na benchi imara kuanzia RB/RCB/CDM/ST. Unfortunately hii ndio ilikua best chance maana msomi ujao Newcastle, Man u , liver na Chelsea zitaamka so tunaweza hata tusimalize top 4.

So sad
Nakumbuka ulikuwa ukiwaambia ukweli ndugu zako wakaishia kukushambulia na kukuita mamluki sasahivi wanaamini maneno yako
Tatizo mashabiki wa Arsenal wengi hawajielewi wanafikiri kupata ubingwa ni rahisi tu kwa kikosi hichi cha kuunga na wachezaji wa mafungu

Mkiambiwa fanyeni usajiri wa maana mnaishia kusema mchezaji huyu hana thamani ya bei hiyo utafikiri hiyo hela inatoka mifukoni mwenu hiyo miaka 20 mliokaa bila ubingwa itafika 40 kama msipokuwa seriously
 
Am not worried at all hapa ni usajili tuu tue na kikosi akitoka mtu anaingia mtu bado tuna nafasi ya kusumbua ligi hii arteta mtu
 
TAITO KUNITENDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lastly tunahitaji wachezaji katili,wagumu,wenye roho mbaya,dedicated na selflly motivated ILA technically and tactically gifted.

Nimekuelewa sana tena sana hii sentensi ya mwisho ndo inapigilia msumali wote.
Tuanze na Rice & Caicedo
Yaani kaka hapo ndo tunapofeli tu
 
Hapana mkuu kwenye Mpira unategemea pia weakness za wenzio kufanya vizuri. Hata msimu ambao Leicester alibeba ligi timu zote kubwa zilikua hovyo ndio maana alibeba ndoo kwa point chance mnoo kulinganisha na mabingwa wengine wa EPL.

Mfano msimu ujao tunaweza pata injuries kwa watu kama Saka, Odegaard ama Martinelli tayari msimu unafia hapo. Au say Chelsea ikapata kocha mzuri, kwa kikosi chake tu wanaweza fikisha 80+ points, hapo Bado Newcastle itamwaga pesa kuongeza depth and so will Man UTD na Liverpool so usitegemee ubora wetu pekee utatubeba sometimes na failure za competitors zinakubeba.

Pia Kuna kitu kinaitwa fatigue, ukipambania kitu sana ukakikosa morale yote inakufa. Imagine tumeongoza ligi kwa almost Kila wiki alafu Bado tumepoteza ubingwa unadhani mwakani fighting spirit inatoka wapi? Saka atakua gassed out, Odegaard motisha itashuka, ndio Mpira ulivyo. Unfortunately our time has passed usishangae Arteta akatimuliwa msimu ujao.
Unfortunately our time has passed usishangae Arteta akatimuliwa msimu ujao
This is a mere prediction mkuu,yes arteta anaweza fukuzwa kama kocha mwingine yeyote ila kupata kocha aina yake sio kitu rahisi.ndo maana unaona timu kubwa zinatapatapa kupata makocha bora.
On paper unafikiri ni team ngapi zinaizidi juve kwa ubora wa kikosi?where are they? Japo hawako pabaya ila hawapo wanapostahili kuwa
 
Mmoja wa commentators wakati game inaisha alisema " it was a mature host against immatured visitors"
Tumepoteza kwa timu iliyokua bora zaidi, it's a fair results

As Arsenal We have a long way to go
Squad depth
Matured players, hawa Vijana hawatatufikisha popote pale

Come on up gunners [emoji110]

Arsenal NDOO
Haaland KIATU
 
Hii mechi yetu dhidi ya City Mikel Arteta angemjaribu Partey kwenye nafasi ya Saliba na pia Jorginho acheze #6. Kuna vitu huwezi kuona thamani yake paka Vikuondoke, wale team Partey nadhani tumeona mchezaji yupi ni ufunguo baada ya Saliba kuumia, quality ya Saliba na holding ni nchi na mbingu.

Timu ina struggle kwenye build up
Timu inakosa control
Timu inakuwa chini muda mwingi, si kwenye key zones ambazo zinafanya tufunge magoli km tulivyozoea.

Arteta kuendelea kumchezesha Partey badala ya Jorginho ni wendawazimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom