Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton wanashinda goli 3 hii game. Chelsea wanacheza kama wamekutana road.
Ingawa alikua anaongoza ila Brighton walionekana comfortable mno kuanzia defense mpaka attack. Chelsea imedhamiria kucheza counter, shida inakuja kulinda goli huo upande wa Chalobah Mitoma anauchana chana
 
Yaani Brighton wapo comfortable mnoo, aisee Chelsea imekua ya kawaida sana...Wakija Emirates watakula 4 hawa.
 
City kairudia formation aliyomdidimizia Bayern. Leicester wameamua kucheza back 3.

Kuna siku nilisema huyu Faes ni blunder with constant pressure anabreak nikashambuliwa, leo tumuangalie.
 
"Nacheka lakini naogopa." 😂😂😂

Arsenyani acheni kuota, hamna uwezo wa kumfunga City Etihad. Ubingwa toeni kabisa kwenye mawazo yenu maana huu ndiyo muda wa Pep kufanya vitu vyake.

Haaland kiatu.
Arsenyani kondoo.
 
Back
Top Bottom