Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
Haya shime wana Arsenal, kila mtu kwa dini yake na matunguri yake, hatuna muda wa kulemaa, hatuna mbinu mbadala isipokuwa kumfunga MAN CITY kwake.
Tutakuwa tumemvunja guu, hatokuwa na hiki kimuhe muhe tena..., Sahivi wanakimbia kama hawana akili nzuri
Tutakuwa tumemvunja guu, hatokuwa na hiki kimuhe muhe tena..., Sahivi wanakimbia kama hawana akili nzuri