Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki

Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo

Jana ziligawia pipi pale kati

Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard

Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)

Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi

Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi

Halafu anaitwa magwaya mara guehi
 
Eti wanasema hatujacheza na man city, kwani huyo man city amecheza na sisi....?

Atapigwa tu...

A London derby awaits
Arsenal play today and the whole world is happy

West ham
16:00
London stadium
Primier league

YaGunnersYa
IMG-20230416-WA0002.jpg
 
Arsenyau kuna muda unawaonea huruma.

Kwa man city na man u Walidominate possession ila wakafa tatu tatu kila upande.

Kwa liva wakasema OK tupaki bus ila bado goli 2 zikaingia.

Wakifunguka wanapigika, wakipaki bus wanapigika, poor arsenyanis.
Nyie mlienda Anfield hamkupaki bus kilichowakuta mnakijua

Mkaja Emirates mkapaki Basi kuanzia dakika ya 70 mpaka 92 kilichowakuta mnakijua
 
Mkuu Jana niliangalia hiyo mechi nikawaogopa Brighton, mpira wao Ni level nyingine kbsa ndo maana Pep amewaogopa
Brighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki

Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo

Jana ziligawia pipi pale kati

Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard

Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)

Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi

Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi

Halafu anaitwa magwaya mara guehi
 
Leo Martinelli akiuwasha Moto Kama ule aliouwasha kwenye mechi ya Liverpool aisee Westham watakufa nyingi Sana.
 
Only 3 clubs have won the Fifa Club World Cup in England.
1.Chelsea.
2.Liverpool.
3.Manchester United.

Only 5 clubs have won the Uefa Champions League in England.
1.Liverpool.
2.Manchester United.
3.Chelsea.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.

Only 5 clubs have won the Uefa Europa League in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Tottenham Hostpur.
4.Manchester United.
5.Ipswitch Town.

Only 5 clubs have won the Uefa Super Cup in England.
1.Liverpool.
2.Chelsea.
3.Manchester United.
4.Nottingham Forest.
5.Aston Villa.
.
.
.
.
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them🙄🙄🙄.
 
They have their own records and we have ours
 
If you are looking for small clubs like Manchester City and Arsenal on this list, I am m sorry you can't find them.
Only one club in England has a golden premier League trophy
1. Arsenal
 
Nyie mlienda Anfield hamkupaki bus kilichowakuta mnakijua

Mkaja Emirates mkapaki Basi kuanzia dakika ya 70 mpaka 92 kilichowakuta mnakijua
Emirates Kilichotukuta ni kipi? Kuzidiwa possession? Point 3 zikaenda wapi?

Kwahiyo nyie hii timu yenu possession ndio mafanikio yenu ya kujivunia msimu huu?
 
Ushindi wa leo siyo wa ubingwa

Ushindi wa leo ni kujihakikishia UEFA tu. Ushindi kwa ajili ya ubingwa bado.

Leo tukishinda spurs na brighton hawatoweza tena kututoa nafasi ya nne. Assuming tumepoteza mechi zote zilizobaki na wao wameshinda zote zilizobaki.

So leo ni kwaajili ya UEFA. Ikifika muda wa ubingwa nitawaambia
 
Back
Top Bottom