Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata kabla ya kwenda Anfield mlijipa moyo hivihivi, tena mkatoa onyo kabisa kua Liverpool wasithubutu kutaka kupishana na nyinyi, maana kwa hio Liver mbovu mtawafanyia kitu ambayo haijawahi kufanyika tokea kuanza kwa Epl
Baada ya kufika Anfield sasa wazee wa pressing wakapressiwa wao mpaka wajikuta wenyewe wamepaki buss
Tuliamua kuwaachia tu ili tulinde goli, si unaona mwanzo tulivyopishana walipotea fasta.

Arteta on second half:
We relied on big defensive moments where Aaron took a big part and they missed the penalty. We missed that ruthlessness to take the game. It’s probably a fair result. The big lesson is play the way we did in the first half.

THE BIG LESSON IS TO PLAY THE WAY WE DID IN THE FIRST HALF.
 
Tuliamua kuwaachia tu ili tulinde goli, si unaona mwanzo tulivyopishana walipotea fasta.

Arteta on second half:
We relied on big defensive moments where Aaron took a big part and they missed the penalty. We missed that ruthlessness to take the game. It’s probably a fair result. The big lesson is play the way we did in the first half.

THE BIG LESSON IS TO PLAY THE WAY WE DID IN THE FIRST HALF.
Na ndo tutaenda ivyo hadi msimu huu uishe
 
Muda mwingine hua tunajudge mechi kutokana na historia mtu akiitaja westham anatamani iwe westham ile tuliyosuluhu nayo 2021. Walitupiga 3 za haraka haraka sisi tukasawazisha.
 
Sasa hawajui kua westham amekua miaka yote akiwa dominated na Arsenal. Msimu huu hakuna traditional top 4 aliyefungwa na westham, watu wanakumbuka chelsea ilivyofungwa so wanaishi kwa kutegemea matumaini na miujiza kwamba kuna lolote litatokea.
 
Westham anagombea kutoshuka daraja, so kwake kila point ni ya msingi. Anaweza akaopt kupark basi tu kwakua point moja kwake ni muhimu ambao tunaona tunaweza kunyanyua kikombe ndiyo tunatakiwa kua na passion na desire kuwazidi wao. Arsenal bado tuna tatizo la kulose focus wakati game ikiendelea.
 
Kuna hesabu fulani hivi za suluhu mbili na ushindi zikipigwa unaona ubingwa huu hapa, tulikua na msimu wa Emery ambao tulikua nafasi ya 3 na tulihitaji kushinda mechi 3 kati ya saba ili tubaki top 4. Msimu uliisha tunashika nafasi ya saba.
 
So badala ya kuhesabu points na mechi tunatakiwa tufocus mechi kwa mechi. Msimu huu round 1 tulicheza na Spurs first half tukashinda 2 second half tukadefend hata kwenda mbele tukawa hatuendi spurs msimu huu ipo hovyo so haikutupa shida na hiyo mentality ndiyo tukaifanya kwa liva but liva ina attack nzuri bado huwezi park basi kwa beki Holding na Magalhaes hata Kiwior sielewi kwanini aliingia.
 
Arteta kasema big lesson ni kucheza tunavyocheza, tukumbukue hii staili ya kuscore na kurudi kupaki basi ndiyo ilituua msimu uliopita round ya kwanza mechi nyingi tulipoteza au kusuluhu kwa tabia hiyo. So tulivyoanza round ya 2 akili iliniambia ile tabia imekufa kumbe bado ipo.
 
Ok mlionishambulia kwanini mimi nasema Arsenal hatukuapply enough pressure kiasi kwamba hatukupata advantage kupitia kwa Faes mko wapi saa hii? Ukipata muda usiangalie games za Arsenal au Nyumbu pekee. Inasaidia kujua baadhi ya wachezaji na ubora wa timu zao.

Mfano Nottingham wana kocha mzuri anajua sub za muhimu wanacheza kwa determination ila kukosa udhamini mwanzoni nahisi kuliwaua morali, pamoja na yote ni ngumu kuhitimisha 100% kwamba nyumbu watakufa. Ila clean sheet wanaweza kuikosa.
 
Wana miaka zaidi ya 8 hawa Kima bila ya kuingia kwenye top 4, so hata wakimaliza ligi kwenye nafasi ya 4 bado watajiona msimu huu wamefanya wonders

Arsenyani ni One season wonder,
Msimu ujao kwenye Uefa wanatolewa mapema tu kwenye makundi na kurudi zao Europa, kwenye ligi ndio watapoteana kama walivyopoteana Leicester City msimu huu.


#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
Hii timu wako bize kutamba kwa kuongoza possession mbele ya city, ndio mafanikio yao makubwa kwa miongo kadhaa.
 
Hata kabla ya kwenda Anfield mlijipa moyo hivihivi, tena mkatoa onyo kabisa kua Liverpool wasithubutu kutaka kupishana na nyinyi, maana kwa hio Liver mbovu mtawafanyia kitu ambayo haijawahi kufanyika tokea kuanza kwa Epl
Baada ya kufika Anfield sasa wazee wa pressing wakapressiwa wao mpaka wajikuta wenyewe wamepaki buss
Arsenyau kuna muda unawaonea huruma.

Kwa man city na man u Walidominate possession ila wakafa tatu tatu kila upande.

Kwa liva wakasema OK tupaki bus ila bado goli 2 zikaingia.

Wakifunguka wanapigika, wakipaki bus wanapigika, poor arsenyanis.
 
B
Leicester ka create xG kubwa kuliko city

Big chances kuliko city

Wangekuwa makini wangeshinda au Sare

Mashabiki wengi hasa manjesta na baadhi wa chelkenge wanatupigia kelele humu ,mpira hawaangalii

Huyu city bwana wenu tutamtafuna vzr Sana ,

Narudia tunahitaji draw 2 tu katika mechi tulizobakiza ,hiyo Ni minimum tu


View attachment 2589074
Brother, xG ya Leicester ilianza kupanda baada ya city kufanya sub kuwaingiza kina Philips,Gomez,palmer n.k
Hapo ndio Leicester wakapata pumzi ya kuanza kushambulia.

Do you think nanyie tutawawekea Sergio Gomez?
 
Westham wagonga nyundo ,here we go ...

Leo tunakuja kuwagonga Hawa gunnergay 3+ goal ...
 
Westham wagonga nyundo ,here we go ...

Leo tunakuja kuwagonga Hawa gunnergay 3+ goal ...
Hakuna haja ya kuwapigia ramli, acha washinde tu ila kama kweli wanataka kombe basi pale etihad ndio itakua kipimo sahihi kwao kuprove kwa dunia kwamba wanapaswa kuwa mabingwa wapya wa EPL.

Tofauti na hapo, trophyless as usual and I feel it coming.
 
Back
Top Bottom