Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msijinyonge mkikosa ubingwa
20230410_141236.jpg
 
"Nacheka lakini naogopa." 😂😂😂

Arsenyani acheni kuota, hamna uwezo wa kumfunga City Etihad. Ubingwa toeni kabisa kwenye mawazo yenu maana huu ndiyo muda wa Pep kufanya vitu vyake.

Haaland kiatu.
Arsenyani kondoo.
City akishafika anga hizi hakuachi, Bora aseno angekuwa anaongoza kwa point walau 9, liver tunajua mateso ya kukimbizana na city mida mibovu
 
Huu ubingwa msimu huu sijui............ City moto anao mpelekea Leicester si wakitoto.
 
Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate

Tutamfanya hamna hapo kwake


Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city

Nyingine na kiande yeyote

Uwezo tunao Nia tunayo

Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa

Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana


Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
 
Back
Top Bottom