Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

DullyJr alikuwa na fujo sasa hivi nguvu zake kahamishia kuisema Yanga na Manara daily baada ya Wydad kufanya yao atahamia rasmi jukwaa la mapishi.

Jackwillpower kaamua ahamie kwenye uhubiri na awekeze mipango yake katika kufungua kanisa timu yake imemchosha.

Will Jr sasa hivi anachambua mambo ya kina Konde boi na Ali kiba humu hutomuona tena.
 
[emoji3][emoji3]
24fc0288b03f4bc0aeb61a53a03b3067.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tumetembeza vipigo kwa timu nyingi mpaka zimekua haters siku hizi zote zinashangilia Arsenal ikiwa inastruggle.

Nafikiri imekua haraka sisi kutengeneza haters wengi kwa mara moja huku tukiwa hatuna 100% quality. Tuwe tunabeba hoja za msingi hoja za city ana mashindano mengi ni za kimiyeyusho.

Bado tunaweza kugeuza kitu labda. We'll show great character kama tutafanya hivyo
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
 
Tatizo mnakelele na mdomo sana hafu kutwa kushinda kwenye jukwaa letu kutupigia kelele kuwa ten hag tumepigwa.

Mdomo umewaponza lazima mle spana tu[emoji375][emoji375]
Screenshot_20230402-103459.jpg
 
Tatz la hawa wenzako wengi hawatak kusikia ukwl wakiambiwa ukwl wanaona wanaonea.. Wanakuja kudnaganywa na yule jamaa wao kua hii team ni tishio sana hakuna mfano na wao wanaingia kwny mfumo.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio tayari leo rasmi wameingia kwenye mfumo wa miaka 21 bila ya kubeba Epl.
 
hamis77 umetukera sanaa msimuu huu na chambuzi zako maandazi yan jukwaa la ManU unatuandikia essay kutuponda kisa unaongoza ligi...

ona sasa kiko wap😂Ukija na Id mpya mwandiko wako tunaujua.....

To all arsenal fans excluding Mchambuzi makini wa mpira.... mkiingia sokoni vzr tenaa mybe next time itakuwa bahati yenu... mmepambana sanaa huu msimu... Kauli yenu iendelee Kuwa lengo ni kweNda Yuefa
 
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee

4 points lost in the last two games will be remembered
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom