Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baada ya kupoteza Vs City tumepiga WIN 7 DRAW 1

Kesho tunaanza Tena WIN 7 DRAW 2

Halafu mtaniambia Huyo bwana wenu city atabebea wapi huo UBINGWA
Ushawapa na title, 'Bwana wao' 'Bwana kheri' . They keep fvcking twerking allday.
 
Nasema hivi, City anashinda mechi zote zilizobakia kwenye EPL na UCL
Wewe Baki na litimu lako chelkenge

Upo points 6 na kushuka daraja

Wahuni wakikaza vzr ,mechi ya mwisho mnapelekwa Championship kucheza na kina Waycombe wanderas
 
"8 points clear" alisikika mlevi mmoja akiropoka...
Screenshot_20230415_211004_WhatsApp.jpg
Screenshot_20230415_210303_All%20Goals.jpg
 
Hujui mpira mzee ,Aston villa unamuweka top 4,?
Ulitaka nisimuweke wakati ana points 50 ,points 6 dhidi ya aliyepo top 4

Astonvilla ana form Kali ukimtoa Arsenal na city


Astonvilla ametoka kugombea kushuka daraja ,Sasa hivi yupo top 6

Bado ana mechi Vs manjesta

How comes nisimpe nafasi ya top 4

Points 6 alizozidiwa na Manjesta na Newcastle sio nyingi ,Tena manjesta hii ya Magwaya
 
Leicester ka create xG kubwa kuliko city

Big chances kuliko city

Wangekuwa makini wangeshinda au Sare

Mashabiki wengi hasa manjesta na baadhi wa chelkenge wanatupigia kelele humu ,mpira hawaangalii

Huyu city bwana wenu tutamtafuna vzr Sana ,

Narudia tunahitaji draw 2 tu katika mechi tulizobakiza ,hiyo Ni minimum tu


IMG_20230415_213036.jpg
 
Wewe Baki na litimu lako chelkenge

Upo points 6 na kushuka daraja

Wahuni wakikaza vzr ,mechi ya mwisho mnapelekwa Championship kucheza na kina Waycombe wanderas
Tumepigwa sana bc tutakuwa nafasi ya 17 na hatuwezi kushuka daraja 😂
 
Leicester kiande ,ligi inaanza hapa Kama mnakumbuka walipomuuza GK Schmichael , nilisema watashuka daraja

Pia Soton walipomuuza Forster ,na kwenda kununua watoto wa mancity ,


Kama mlikuwa makini ligi inaanza Arsenal toka pre season alionekana atagombea ubingwa

Leicester ,Soton watashuka daraja

Liverpool sababu ya age ya kikos alikuwa na 50/50 kugombea ubingwa

Chelsea alionesha atapitia Hali ngumu
Leicester kiande ,ligi inaanza hapa Kama mnakumbuka walipomuuza GK Schmichael , nilisema watashuka daraja

Pia Soton walipomuuza Forster ,na kwenda kununua watoto wa mancity ,


Kama mlikuwa makini ligi inaanza Arsenal toka pre season alionekana atagombea ubingwa

Leicester ,Soton watashuka daraja

Liverpool sababu ya age ya kikos alikuwa na 50/50 kugombea ubingwa

Chelsea alionesha atapitia Hali ngumu
Upo sahihi kbsa mkuu
 
Sisi tunahitaji kushinda mechi nyingi iwezekanavyo ukimfunga city ila ukafungwa na brighton na west ham utakua umefanya nini?
 
Hii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwa

Ila majority wakasema manjesta ndio taito contender


Kwahiyo hata Sasa tunahubiri ,City anaenda kufa kwake mapema Sana akikaza draw


Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa imebaki

Kwasasa subiria WIN 7 mfululizo
Unajiamini sana mzee
 
Kweli kabisa mkuu, nafasi ya pili ni maajabu kwenu
Wana miaka zaidi ya 8 hawa Kima bila ya kuingia kwenye top 4, so hata wakimaliza ligi kwenye nafasi ya 4 bado watajiona msimu huu wamefanya wonders

Arsenyani ni One season wonder,
Msimu ujao kwenye Uefa wanatolewa mapema tu kwenye makundi na kurudi zao Europa, kwenye ligi ndio watapoteana kama walivyopoteana Leicester City msimu huu.


#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
 
Mkuu haina haja kutukana, hawa Arsenyani watani zetu, hivyo twende nao tu mdogomdogo mpaka ligi inaisha halafu kombe anakabidhiwa City tuwaulize kiko wapi wanachotutambia?
*Mara yao ya mwisho kuchukua Epl ni mwaka 2003, miaka zaidi ya 20 wamekua ni wasindikizaji.
*Wana miaka zaidi ya 8 hawajawahi kuingia kwenye top4 ya Epl, yaani wana miaka zaidi ya 8 hawajashiriki Uefa.
*Tokea dunia kuumbwa hadi hii leo hawajawahi kubeba Uefa Cup .
*Tokea Adamu anateremshwa mbinguni hadi leo hii hawa wahuni hawajawahi hata kushika tu Europa Cup.

Hizi kima zenyewe zinajijua kabisa kua timu yao ni miongoni mwa zile mid table teams kwenye Epl so zinatumia nguvu nyingi kuCompete na giant teams kama vile Man Utd ili nao walau waonekane. View attachment 2589174View attachment 2589176View attachment 2589178
Nyumbu toka mlambwe 7-0 mmekuwa Kama wehu
IMG_20230326_075841.jpg
 
Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate

Tutamfanya hamna hapo kwake


Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city

Nyingine na kiande yeyote

Uwezo tunao Nia tunayo

Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa

Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana


Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
Hata kabla ya kwenda Anfield mlijipa moyo hivihivi, tena mkatoa onyo kabisa kua Liverpool wasithubutu kutaka kupishana na nyinyi, maana kwa hio Liver mbovu mtawafanyia kitu ambayo haijawahi kufanyika tokea kuanza kwa Epl
Baada ya kufika Anfield sasa wazee wa pressing wakapressiwa wao mpaka wajikuta wenyewe wamepaki buss
 
Back
Top Bottom