Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee vijana wamecheza vizuri na mpira ulikuwa kama kawa two attacking teams arsenal wanakosa breaks ambazomanure na Chelsick wanapata kutokana na mpunga na bahasha. Vijana walicheza vizuri bali tunam-miss Thomas Vermaelen bila hivyo tungefunga biashara zamani still games to play for.


Chali ipi mkuu? labda hufahamu EPL karibu sana tulikuwa kwenye derby tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee



Kila timu ina chance wewe kila moja ina mechi 38 ingawaje wengine wanategemea bahasha zaidi ... ..... khe khe kheeeeeeeeeeee



Kwa mpira upi ule wa jana sahauni khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




khe khe kheeeeeeeeeeeeeee inaonyesha jinsi vidonge ninavyowapa vinafanya kazi kiasi gani khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nasikia mmeona mwezi leo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Wacha ngebe wewe, tulikuwa kwenye derby anything can happen still a lota to play for khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kama black americans wanavyosema N***a please!!! spare us this 'we are better' blather.
 
Kama black americans wanavyosema N***a please!!! spare us this 'we are better' blather.

Hakuna aliyekulazimisha kusoma post zangu kuna kitufe hapo unaweza kubonyeza wala huna sababu ya kuniona khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nyumba hii salama? maana mara ya mwisho kuepo hapa soga zilizokuwa zikipigwa zilikuwa za quadruple..vipi maendeleo?lol
 
Nyumba hii salama? maana mara ya mwisho kuepo hapa soga zilizokuwa zikipigwa zilikuwa za quadruple..vipi maendeleo?lol

Umerudi kabla ya kutangaza timu yako unayoshabikia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umerudi kabla ya kutangaza timu yako unayoshabikia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
What happened to 'In Wenger We Trust', seems a pure comedian to me..only two EPL wins since Feb 12..lol.

BTW, 'khe khe khe' ndio ni gani? hebu tufafanulie kidooogo.
 
Tatizo la Arsenal ni nini jamani? tukishafunga tunalegea au??? i don't get it....i just don't!! fed up with same crap!!

mpira dakika 90 ndugu yangu....sisi hata sekunde tu watu waweza sawazisha manne....l.o.l

ukuta wetu wa neti sana..... unavuja mpk kero....... hawa jamaa watarudisha........

Ngoja sasa nikachume fimbo ya mpera watanitambua leo hawa watoto wa Wenger.

Kweli Ng'ombe wa masikini hazai..... na Akizaa Dume.... na Dume lenyewe laweza kuwa Shoga......... Timu haina uwezo wa kutunza ushindi??????? Annnnggrrrrrrr!!!! It sucks

Mie hapa nashindwa ku-balance furaha na uzuni nimebaki na homa. naona mwili temp imeshapanda.

Waliongeza dakika nne mkuu lol.


Tatizo liko wapi sijui, Wilshereatakuja kusaidia kukaba siju.Nimechanganyikiwa hapa.

it pains sana kaka...... Sijui wana nini tu!!!!!

...Acha tu kaka, huyu mgonjwa wetu mbishi kunywa dawa, akipata nafuu hafuati ushauri wa dakitari.
Uwezekanao wa kutokea hilo, au hata kupoteza game wala haitokuwa ajabu kwangu.
Nishakuwa sugu sasa.

noma sana mkuu, nimeshamaliza chupa mbili za maji hapa.

Kwenye el clasico nitajiunga baada ya game yangu hapa.

..hili ni balaa!

same old arsenal

I am tunning to SPAIN ........ Stupid Arsenal...... mnaudhi sana.....................

"You have to make a decision: either go and win, or develop players." - Fabregas.

Mie hapa nipo hoi, utasema adhabu kushangilia vijana wa wenger.

...hayasemeki mkuu. Msimamo wa ligi mpaka sasa

1. Man United

2. Chelsea.

3. Arsenal

...najiskia kama nichukue likizo jukwaa hili mpaka August, msimu ujao!

Mie ni mshabiki wa Arsenal, nimeangalia yale magoli yanavyorudi nikaona mtu unaweza kuzimika ghafla. Ukweli watu hawawezi kubadilisha timu, ila kuwa mpenzi wa Arsenal inahitaji moyo saana. Leo nimeamua kucomment maana kila siku huwa nachungulia halafu naugulia maumivu. Hata leo Arsenal hawa hawatashinda. Yaani itakuwa ni kuokota point moja moja mpaka ligi inaisha. Threat kwa MAN U ni Chelsea peke yake na si Arsenal. Ngoja niendelee na Spain kwanza. Afya muhim

....I predict huu ndio msimu wa mwisho wa Arsene Wenger.
Nahisi hata sign Contract kuendelea. Baada ya Game ya leo matusi
ya mashabiki kuelekea kwake yatazidi maradufu!


...Truth Hurts, lakini ukweli ndio huo.
Suala sio wachezaji, tactics pia zinachangia.
Well,...

....pamoja wakuu. Nilikuwepo!

Noma sana mkuu, haiwezekani kila siku tunapoteza mechi kwa style hile hile. Wenger sio mkali kwa wachezaji wake kutwa anawapa sifa hata wakiboronga na ndio maana hawajitumi wanaendelea vile vile tu.

Acha tu bana! Ngoja nifuatilie hobby nyingine mpaka August, msimu mpya.

wenger bora aondoke amezidi kutuumiza mioyo yetu kwa ubahili wake,man u naipa nafac kubwa ya kutwaa ubingwa,arsenal nimewatoa wao kupata ubingwa nisawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano,inauma sana.

Sintoweza kuisahau siku ya leo.Asanteni wanajamvi kwa kuwa pamoja tujiandae na msimu ujao.

Nimechoka na Arsenal hata sijui nifanyeje, nimegundua kwanini jamaa wanajiua. Siyo siri kuipenda hii timu kumenifanya mtumwa na mgonjwa. Nashindwa kujua tatizo letu liko wapo, wachezaji au kocha. Nadhani tunahitaji ufundi mwingine , wa huyu mzee umekuwa obsolete kama antivirus isiyo updatiwa!

Yote tisa kumi kushangilia na kufurahia ball possession ni kama kuwa na mbwa asiye na meno! I'sorry but i must say it we no longer need wenger as our manager! Huku mtu akikuambia You are becoming an arsenal manake you are a loser. Inaniuma mpaka basi!

Kila mwaka sio wetu tu, uzembe umezidi kuanzia kocha mpaka wachezaji.

mchanganyiko wa wageni wa kila siku ambao hata hawajitumi wala nini.

...aaah, am not convinced bana.
Tatizo ni la kiufundi zaidi. Arsenal is too predictable.

Kila team sasa weshajua jinsi ya kuwazuia Arsenal, ...hata wakitangulia kufunga, wana uhakika wa kusawazisha.
There's no psychologic resilience in this team, na hiyo haiji kwa Experience, ... ni mbinu za kiufundi za manager!

Check Mourinho anavyoweza mould hiyo kitu kwa kila team anayofundisha.
Mpaka Redknapp amefaulu kuwapa kichwa ngumu Spurs msimu huu...

Noma mkuu, sasa Wenger sijui atasema nini manake mwanzo kwake 2nd position ilikuwa mafanikio kwake .

Haya mambo ya kila mwaka kushika nafasi ya nne halafu tunajiita timu kubwa hata sikubaliani nayo Hapa ndipo ninapomtamani Abramovich angeshamtimua huyu mfaransa kudadadadaddeki. Ngoja niishie hapa manake nkiendelea tu robot atanifungia kwani haki ya mungu natamani wenga na wale watoto wangekuwa beaks za gari ningeliendesha spidi kisha nakaba break na naongeza moto ili wachemke kama breaks za treni. Nakumbuka baba alipenda kutumia hili neneo "Shwaini"! leo limwendee Wenger na vitoto vyake!

It is not acceptable to have poor performance for more than 5 years now...:angry: something must be done asap in order to rectify this situation.

What happened to 'In Wenger We Trust', seems a pure comedian to me..only two EPL wins since Feb 12..lol.

BTW, 'khe khe khe' ndio ni gani? hebu tufafanulie kidooogo.



Hahahahaha!! In Wenger You'll Burst
 
Nimeyapenda haya maelezo ya Fab,inaonekana yuko mbioni kutimukia huko atakako.

Fabregas said: "There will be a moment when you have to decide - do you win things or not?

"Since 2007 I have started to say 'We don't win but we play very well'. And after that you realise that it doesn't work.
"You cannot make the final step and it is here where a decision has to be made - to go out to win or to develop players."
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimeyapenda haya maelezo ya Fab,inaonekana yuko mbioni kutimukia huko atakako.

Fabregas said: "There will be a moment when you have to decide - do you win things or not?

"Since 2007 I have started to say 'We don't win but we play very well'. And after that you realise that it doesn't work.
"You cannot make the final step and it is here where a decision has to be made - to go out to win or to develop players."

Akiondoka Arsenal isahau top four, maana no one will fear them anymore.
 
My take:Huyu Captain kafika mbali bora aende zake msimu ujao.


Arsenal captain Cesc Fabregas: Spanish club would have sacked Arsène Wenger by now

Cesc Fabregas says Arsène Wenger would have lost his job if he worked at one of Spain's top clubs and is urging Arsenal to choose between developing players and simply winning.
 
Kila mwaka sio wetu tu, uzembe umezidi kuanzia kocha mpaka wachezaji.

mchanganyiko wa wageni wa kila siku ambao hata hawajitumi wala nini.
Ningependelea Wenger abadilishe style,anatakiwa ku introduce 4-4-2 with either Chamakh or Bendtner partnering van Persie up front.By starting either of Chamakh or Bendtner, Wenger creates a player that can be targeted within the box and he creates a physical presence in the box.
 
Ha ha ha waliondoka kila Thiery Henry,Vieira,Adebayor,Toure,Flamin,Hleb na wengineo lakini bado Arsenal iko pale pale.
Mkuu unataka kutuambia kuwa tangubwameondoka hao wachezaji mmepata mafanikio zaidi?

Peasant nimeipenda sana hiyo compilation ya posts.
 
Ha ha ha waliondoka kila Thiery Henry,Vieira,Adebayor,Toure,Flamin,Hleb na wengineo lakini bado Arsenal iko pale pale.
Kumuuza Adebayor na kumnunua Maruhani Samaki wewe unaona ni upgrade? Trust me wachezaji wengi wa Arsenal wanaona timu inabalance Cesc akiwepo. He is the only intelligent player in Arsenal midfield. Nasri is useless kama alivo Wilshere, Walcott na lazy ass Arshavin.
 
Asante sana AW kwa kunfanyie fitna Dowans waondoe stima kwangu, iwanje mtaa mzima kwangu tu ndo hakuna umeme?

Asante sana Mbu, Quest, BBK na first lady wenu Michelle kwa kumhudumia marehemu wetu Assholes hadi anatoka wodin to mochwar....

Belo alishwaambia, nafasi yenu ni ya 3, so, mmerud kwenye nafasi yenu...kwa hili mnahitaji pongezi, na makofi ya nguvu matatu...

Peasant ana kamsemo kake...we will finish above you...hahahaha! kuanzia leo namwita Peaaaaaa The Sheihk The Yahyaaaaa's....lol

Anko Wacha1 ngoma ya kitoto haikeshi, tunakusubir kwa hamu apa jamvini uje na longolongo.

BTW Questt hujajiMKwawa kwel kaka?


Hahahahahah! khekheeeeeee! kheeeeeeeeeeeeeee!
 
Back
Top Bottom