Hehehe Wenger on Sky Sports HD 1 'It's not over, we will fight on' kama kawaida analalamikia uchovu 'two big games in three days', Liverpool ilikuwa imejazaa fringe players huwezi kusema ilikuwa tough.
"Mental strength of the team has been outstanding" C'mon Wenger your own captain criticized the team's mentality.
It is not acceptable to have poor performance for more than 5 years now...:angry: something must be done asap in order to rectify this situation.
Mnaangalia El Clasico lakini?! Mchakamchaka!
bonge la goli ronaldo.
Ilo goli linanikumbusha UCL final 2008....bonge la goli ronaldo.
Ilo goli linanikumbusha UCL final 2008....
Ila jamani Mourinho ni tactician mzuri sana dah!! Alijifunza kutoka kwenye 5-0 defeat.
Barca naona wamepeleka kila mtu mbele, Adebayor na Ronaldo wamemiss kubury the game.Mourhino noma sana. na anauwezo mkubwa wa kuwatoa champions league, sio Wenger anarudia makosa yale yale kila siku lol.
Ilo goli linanikumbusha UCL final 2008....
Ila jamani Mourinho ni tactician mzuri sana dah!! Alijifunza kutoka kwenye 5-0 defeat.
Mourhino noma sana. na anauwezo mkubwa wa kuwatoa champions league, sio Wenger anarudia makosa yale yale kila siku lol.
So sorry Arsenal fans, I feel you all!...ni mpira tu, life inaendelea!!
chekechea leo tena chali , lol
Mwaka sio wenu huu lakini mliikuwa naa chance sana kama mngetumia vizuri
Mkuu usikate tamaa mpira bado sana.........Kuna mechi kadhaa zinakuja ila MAN U tunakuja kuchukua kikombe uwanjani kwenu!
Siyo yeye huyo, Wacha1 anaweza kula vidonge yule kama Omondi, sio kulia tu.
Hahah nimemuona Wacha1 uwanjani, mmemuona huyo jamaa mwenye jezi ya njano ya Arsenal alikuwa anafuta machozi?
Hongereni Real Madrid kwa ushindi huu mkubwa.