Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

It is not acceptable to have poor performance for more than 5 years now...:angry: something must be done asap in order to rectify this situation.

...aha ha, pole bro....inauma sana. Eti wahenga walisema, "asiyekubali kushindwa!"
anyway, tuendelee kujivunia sexy futiboli, top 4 na over 10yrs CL place...

Namuonea huruma AW, hivi kila baada ya mechi na kuwaudhi mamilioni ya Arsenal fans all over the world, analala kwa amani kweli? Wachezaji waaala hawajali, utawaona na updates zao kwenye twitter, oooh, relaxing, chilling, bla....blah, blah!

he he he.

Kumuuza Adebayor na kumnunua Maruhani Samaki wewe unaona ni upgrade? Trust me wachezaji wengi wa Arsenal wanaona timu inabalance Cesc akiwepo. He is the only intelligent player in Arsenal midfield. Nasri is useless kama alivo Wilshere, Walcott na lazy ass Arshavin.

....duuuhh, ha ha ha....hilo jina limenichekesha sana!

Asante sana AW kwa kunfanyie fitna Dowans waondoe stima kwangu, iwanje mtaa mzima kwangu tu ndo hakuna umeme?

Asante sana Mbu, Quest, BBK na first lady wenu Michelle kwa kumhudumia marehemu wetu Assholes hadi anatoka wodin to mochwar....

Belo alishwaambia, nafasi yenu ni ya 3, so, mmerud kwenye nafasi yenu...kwa hili mnahitaji pongezi, na makofi ya nguvu matatu...

Peasant ana kamsemo kake...we will finish above you...hahahaha! kuanzia leo namwita Peaaaaaa The Sheihk The Yahyaaaaa's....lol

Anko Wacha1 ngoma ya kitoto haikeshi, tunakusubir kwa hamu apa jamvini uje na longolongo.

BTW Questt hujajiMKwawa kwel kaka?

Hahahahahah! khekheeeeeee! kheeeeeeeeeeeeeee!

...eeehhh? Manda uwe unalipa LUKU bana,
acha kuwadanganya wanao eti kina Mbu wanakuloga!

Mnh, Questt nilimuonya na mapeeema, I hope he's ok.
heri ya Michelle aliyeaga na mapeeema, sie tulijifanya ngangari
kumpa matumaini mgonjwa ilhali mashine ya kupumulia Peasant alishaihujumu switchi!

he he he!
 
Kumuuza Adebayor na kumnunua Maruhani Samaki wewe unaona ni upgrade? Trust me wachezaji wengi wa Arsenal wanaona timu inabalance Cesc akiwepo. He is the only intelligent player in Arsenal midfield. Nasri is useless kama alivo Wilshere, Walcott na lazy ass Arshavin.

The same old story.ugonjwa wa moyo...
 
Jose doesn't play sexy footy, but knows the tactics and he is the winners!

Real Madrid won it!

This is what 'prof' Wenger lacks.He entertains the gang of dross,below par players with no football brain and urgency..
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeesi unajua wazee wa bahasha. Swala la kujiuliza kwa nini golikipa hakupewa kadi? Lakini Arsenal hawawezi kumaliza mechi siku hizi bila kulimwa penalty ni sawana ile ya Losefools.

Shinikizo la damu laja,timu hii jamani.
 
Tottenham: Gomes, Corluka, Gallas, Dawson, Assou-Ekotto, Huddlestone, Modric, Bale, Van der Vaart, Pavlyuchenko, Crouch.
Subs: Cudicini, Kaboul, Lennon, Defoe, Bassong, Sandro, Pienaar.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Djourou, Koscielny, Clichy, Song, Walcott, Fabregas, Diaby, Nasri, Van Persie.

Mungu ijaalie Arsenal, Mungu ijaalie Furaha yangu.... leo sidhani kama kuna neno lingine zaidi ya Ushindi.......

Presha tu mkuu,jamani jamani.
 
huyu kocha afukuzwe tu..,kocha gani wa hovyo namna hii..
 
Gooners! looks like there was misfiring yesterday

ila game ilikua tight msimlaumu sana wenger
 
Gooners! looks like there was misfiring yesterday

ila game ilikua tight msimlaumu sana wenger

Sawa lakini chama hili limezidi uzembe.out of possible 18 pts in the last 6 games tumeambulia 8 tu.Bila kumbandua Bolton J2 hata hiyo nafasi ya 3 tutaisikia kwny bomba tu.
 
Mkuu unataka kutuambia kuwa tangubwameondoka hao wachezaji mmepata mafanikio zaidi?

Peasant nimeipenda sana hiyo compilation ya posts.


Hahahaha, kushangilia Arsenal ni kujitakia magonjwa bila sababu, huyo Nutty Professor anawapeleka kubaya.
 


The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch


Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

28rejux.png

I like that photo of Wenga
 
Wee Peasant nduguyo Wacha1 yu wapi?
Mwenye info zake tafadhal anai PM.

Kheeeekheeeeee! kheeeeeee!
 
Mwenyewe namtafuta kweli Wacha1, amepotea kama shilingi moja!

Wacha1 niaje? au una kikao na AW??🙂


Khe khe kheeeeeee nani ananitafuta (huwezi kunitafuta kwenye mfuko wako kwani tulikuwa na miadi?) Mimi nakwambia nawanyima wakuda wengi tu hapa usingizi hawajui kwamba hii ni game na katika ushindani kama hujui kufungwa basi wewe sio mshindani, wewe angalia media yote inaongelea Arsenal hawasemi kitu kuhusu Spurs wala manure au mafioso team ni Arsenal or Wenger kwa kwenda mbele hiyo tu inaashiria chichi ni bab-kubwa na wataendelea kukonda maana vitu vikali viko njiani ndio chababu wanaweweseka na sie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee karibu sana .

Kama kawa Mungiki Brother et al in the house plus all other losers nimewapa sherehe hadi weekend utaona watapotea kama uyoga khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata yule mshabiki bandia anayeshabikia timu za vichochoroni alionekana jana akiwanga wakati watu wamelala khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati anajiita Abduhalimi chijui ndio nini?
 
Back
Top Bottom