Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Wakuu mmeona uzembe wa wachezaji wetu wakifika golini? walcott si angepiga shuti mwenyewe hile?
Hakieleweki kitu leo homeboy!..Arsenal leo lazima wachezaji wachanganyikiwe!!
Naona umeamua kuwa member sio guest tena ha ha ha. karibu.
..hili ni balaa!
Hawa wachezaji wetu wameshindikana , sasa hivi ndio wanajifanya kupiga mashuti.
Umejuaje?? mana nimesikilizia yamenishinda...nita-tost class ya wine kwa ajili ya Walcott tu japo kama mtapunguza gape hiyo inakuchoma kwa moyo🙂)