Khe khe kheeeeeee nani ananitafuta (huwezi kunitafuta kwenye mfuko wako kwani tulikuwa na miadi?) Mimi nakwambia nawanyima wakuda wengi tu hapa usingizi hawajui kwamba hii ni game na katika ushindani kama hujui kufungwa basi wewe sio mshindani, wewe angalia media yote inaongelea Arsenal hawasemi kitu kuhusu Spurs wala manure au mafioso team ni Arsenal or Wenger kwa kwenda mbele hiyo tu inaashiria chichi ni bab-kubwa na wataendelea kukonda maana vitu vikali viko njiani ndio chababu wanaweweseka na sie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee karibu sana .
Kama kawa Mungiki Brother et al in the house plus all other losers nimewapa sherehe hadi weekend utaona watapotea kama uyoga khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hata yule mshabiki bandia anayeshabikia timu za vichochoroni alionekana jana akiwanga wakati watu wamelala khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati anajiita Abduhalimi chijui ndio nini?
...jamaa mnachonga sana nyie,
![]()
...We Are The Gunners, Together We Stand!
Stay tuned!
We will be back!!!
Arsene Wenger has called on Arsenal fans not to lose faith as the Gunners look to salvage their season by delivering the Barclays Premier League crown.[
Namuonea huruma AW, hivi kila baada ya mechi na kuwaudhi mamilioni ya Arsenal fans all over the world, analala kwa amani kweli? Wachezaji waaala hawajali, utawaona na updates zao kwenye twitter, oooh, relaxing, chilling,
Mtazidi kusimama wakati wenzenu wanasonga mbele..ha ha
Acheni kulalamika, jumamosi na jumanne mliegesha kwenye jukwaa letu jana na leo tunaegesha hapa....weekend ikifika kama kuna kilio kwingine tunahamisha kambi.
Mkuu we acha tu... Hii ligi inatuweka roho juu sana.ha ha ha. mateso kwa zamu!...msiba wa wengi harusi.
Si Man U wala Arsenal anayeweza jivunia lolote wiki hii, angalau Chelsea ana cha kujivunia!
Wee Peasant nduguyo Wacha1 yu wapi?
Mwenye info zake tafadhal anai PM.
Kheeeekheeeeee! kheeeeeee!
Wacha1
Welcome Back anko, nilikumiss....khekheeeeeee! vipi, ubingwa wa EPL mnatangaza lini?
Tulitangaza ama media kama kawaida yao ndio ilitangaza? A'fu speaking of February nyie ndio mlianza kutangaza sijui Quadruple (Samir Nasri and co baada ya kuwatoa Leeds emphatically), mkasema mnaanza na Carling Cup and whatnot.Mkuu Chelsick walitangaza ubingwa November last year nyinyi Manure mlitangaza mwezi wa pili sisi tunasubiri May hapo ndipo mtajua zipi ni mbivu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Si unajua mwenyewe anayecheka mwisho ndio anafaidi! Nimeona wakuda wa Chelsick wamefufuka kama uyoga khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
...jamaa mnachonga sana nyie,
![]()
...we are the gunners, together we stand!
stay tuned!
We will be back!!!
Aya ayaaa...majirani na watani zangu...nikutakieni sikukuu njema ya Pasaka...najua mmenuna lakini ndo mpira huo...tukaribishane 'mnuso' huo wajameni.
...mnh,....!!!...pamoja na kwamba hiki 'kizungu' hakihitaji uwe umekwenda shule au la, lakini nadhani sijamuelewa vizuri huyu mzee. "If" maana yake nini?Arsène Wenger has revealed he will be in a position to spend big this summer if required.
"Is [that] available? Frankly I don't know," he said. "We have not completely checked out our financial position. The only thing I can say is that the Club is in a healthy financial situation and, if needed, we can make a big transfer."
But while the figures could be large, the number of incoming players will be few.
"No I don't [expect a busy summer] at all," he said. "The team is 23 years-old [on average] so why should we expect to have a huge turnover at the end of the season?"