Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....I predict huu ndio msimu wa mwisho wa Arsene Wenger.
Nahisi hata sign Contract kuendelea. Baada ya Game ya leo matusi
ya mashabiki kuelekea kwake yatazidi maradufu!

Noma sana mkuu, haiwezekani kila siku tunapoteza mechi kwa style hile hile. Wenger sio mkali kwa wachezaji wake kutwa anawapa sifa hata wakiboronga na ndio maana hawajitumi wanaendelea vile vile tu.
 
...Truth Hurts, lakini ukweli ndio huo.
Suala sio wachezaji, tactics pia zinachangia.
Well,...

....pamoja wakuu. Nilikuwepo!

Take care mkuu na wala usijali ndio mpira huu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hehehe nikiripoti laivu kutoka WHL ni mimi mwandishi wa kujitegemea , redio ya mbao betri za kuazima.

washabiki wa ze gunnerz wanashauriwa kushabikia mtibwa sugar kwa maslahi ya afya zao. mwisho wa kunukuu
 
...na wengi wao wanachezea team zao za taifa!

Mkuu kuitwa timu ya Taifa yes inawezekana ila lazima kuwe na top players wa siku nyingi...Na ambao wanaweza kufanya maabadiliko zaidi katika timu!

Nadhan
 
....I predict huu ndio msimu wa mwisho wa Arsene Wenger.
Nahisi hata sign Contract kuendelea. Baada ya Game ya leo matusi
ya mashabiki kuelekea kwake yatazidi maradufu!

wenger bora aondoke amezidi kutuumiza mioyo yetu kwa ubahili wake,man u naipa nafac kubwa ya kutwaa ubingwa,arsenal nimewatoa wao kupata ubingwa nisawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano,inauma sana.
 
hehehe nikiripoti laivu kutoka WHL ni mimi mwandishi wa kujitegemea , redio ya mbao betri za kuazima.

washabiki wa ze gunnerz wanashauriwa kushabikia mtibwa sugar kwa maslahi ya afya zao. mwisho wa kunukuu

Hahahahah nimecheka sana.........
 
wenger bora aondoke amezidi kutuumiza mioyo yetu kwa ubahili wake,man u naipa nafac kubwa ya kutwaa ubingwa,arsenal nimewatoa wao kupata ubingwa nisawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano,inauma sana.

Mkuu usikate tamaa mpira bado sana.........Kuna mechi kadhaa zinakuja ila MAN U tunakuja kuchukua kikombe uwanjani kwenu!
 
hehehe nikiripoti laivu kutoka WHL ni mimi mwandishi wa kujitegemea , redio ya mbao betri za kuazima.

washabiki wa ze gunnerz wanashauriwa kushabikia mtibwa sugar kwa maslahi ya afya zao. mwisho wa kunukuu

ushauri mzuri bora kushangilia mtibwa kuliko kushangilia arsenal kila mechi unaangalia ukiwa na panadol mfukoni
 
Nimechoka na Arsenal hata sijui nifanyeje, nimegundua kwanini jamaa wanajiua. Siyo siri kuipenda hii timu kumenifanya mtumwa na mgonjwa. Nashindwa kujua tatizo letu liko wapo, wachezaji au kocha. Nadhani tunahitaji ufundi mwingine , wa huyu mzee umekuwa obsolete kama antivirus isiyo updatiwa!

Yote tisa kumi kushangilia na kufurahia ball possession ni kama kuwa na mbwa asiye na meno! I'sorry but i must say it we no longer need wenger as our manager! Huku mtu akikuambia You are becoming an arsenal manake you are a loser. Inaniuma mpaka basi!
 
Hahah nimemuona Wacha1 uwanjani, mmemuona huyo jamaa mwenye jezi ya njano ya Arsenal alikuwa anafuta machozi?

Siyo yeye huyo, Wacha1 anaweza kula vidonge yule kama Omondi, sio kulia tu.
 
Hongereni Arsenal kwa kubahatisha point moja....msijali sana bado mko nafasi ya tatu lakini muda ukifika mtakuwa kwenye nafasi tenu ya nne.
 
Mkuu kuitwa timu ya Taifa yes inawezekana ila lazima kuwe na top players wa siku nyingi...Na ambao wanaweza kufanya maabadiliko zaidi katika timu!

Nadhan

...aaah, am not convinced bana.
Tatizo ni la kiufundi zaidi. Arsenal is too predictable.

Kila team sasa weshajua jinsi ya kuwazuia Arsenal, ...hata wakitangulia kufunga, wana uhakika wa kusawazisha.
There's no psychologic resilience in this team, na hiyo haiji kwa Experience, ... ni mbinu za kiufundi za manager!

Check Mourinho anavyoweza mould hiyo kitu kwa kila team anayofundisha.
Mpaka Redknapp amefaulu kuwapa kichwa ngumu Spurs msimu huu...
 
Back
Top Bottom