Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
:director::director::director::director: eeehh kidedea :director::director::director::director: eeeh kidedeaaa
Sagna anajituma sana.
siku zote Sagna anajituma sana....utafikiri kahaidiwa u- manager baada ya AW...namkubali sana.....!!!
RVPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPP!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hakuna COMEBACKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKK!!!!!!!!
:director::director::director::director: eeehh kidedea :director::director::director::director: eeeh kidedeaaa
duh,naomba Mungu tumalize na ushindi huu au zaidi....nasi tufurahi leo jamani!!!
...hivi half time ni dakika ya 45 au 50?
aaahhh, Questt nawe bana, Haya sasa 3 - 2.
Acha hizo ha ha ha!
Kweli Ng'ombe wa masikini hazai..... na Akizaa Dume.... na Dume lenyewe laweza kuwa Shoga......... Timu haina uwezo wa kutunza ushindi??????? Annnnggrrrrrrr!!!! It sucks
Mie hapa nashindwa ku-balance furaha na uzuni nimebaki na homa. naona mwili temp imeshapanda.
Mie hapa nashindwa ku-balance furaha na uzuni nimebaki na homa. naona mwili temp imeshapanda.
Mmmhh, angalia tusikupoteze mkuu kama wale jirani zetu wa Nairobi....bado tunakuhitaji....try to get some fresh air when White HOT Lane becomes HOTTER.
...hivi half time ni dakika ya 45 au 50?
Lol wakuu kama hamtaki dakika za nyongeza basi msiwe mnafanya faulu.it pains sana kaka...... Sijui wana nini tu!!!!!