Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

tayari chelsea ana 1 huko so mkipigwa tu mnarudi kwenye nafasi yenu ya 3
 
HAHHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA..................NASRIIIIIIIIIIIIIII.....hawatoki hii game.....
mpira dakika 90 ndugu yangu....sisi hata sekunde tu watu waweza sawazisha manne....l.o.l
 
...haya sasa, Diaby keshaanza madudu yake. Yellow Card ya nini?
No wonder Van Persie humkung'uta makwenzi dressing room.
 
ukuta wetu wa neti sana..... unavuja mpk kero....... hawa jamaa watarudisha........
 
huyu Djorou kavaa RABA MTONI nini?????????? Lile Goli aliteleza jamaa akascore..... tena kateleza PAV akamtoka......
 
ukuta wetu wa neti sana..... unavuja mpk kero....... hawa jamaa watarudisha........

Ili Arsenal washinde confortable lazima wapate goli nyingi mapema wakati huu ambapo TOT wanatumia winga moja, wakishamuingiza Lenon na Dofoe baadae itakuwa shughuli
 

Van Persie anawatoa nanihiii nyingine....3 - 1!!!
 
Back
Top Bottom