Vipi tena mkuu?
Mie hapa nipo hoi, utasema adhabu kushangilia vijana wa wenger.
Huyo mtoto mzuri sana kaka, nimemkubali, dah kwa nini anawatoa Walcott na Nasri kwa wakati mmoja?Dogo sasa hivi anafuta aibu tu.
...hayasemeki mkuu. Msimamo wa ligi mpaka sasa
1. Man United
2. Chelsea.
3. Arsenal
...najiskia kama nichukue likizo jukwaa hili mpaka August, msimu ujao!
Mie hapa nipo hoi, utasema adhabu kushangilia vijana wa wenger.
Mie ni mshabiki wa Arsenal, nimeangalia yale magoli yanavyorudi nikaona mtu unaweza kuzimika ghafla. Ukweli watu hawawezi kubadilisha timu, ila kuwa mpenzi wa Arsenal inahitaji moyo saana. Leo nimeamua kucomment maana kila siku huwa nachungulia halafu naugulia maumivu. Hata leo Arsenal hawa hawatashinda. Yaani itakuwa ni kuokota point moja moja mpaka ligi inaisha. Threat kwa MAN U ni Chelsea peke yake na si Arsenal. Ngoja niendelee na Spain kwanza. Afya muhim
yani kocha wa arsenal kaishiwa kabisa ufundi
yani kocha wa arsenal kaishiwa kabisa ufundi
Mkuu huwezi kusema hawana experience wakati wengi wao wamecheza kwenye top flight for two, three seasons or more.Mkuu Arsenal imejaa watoto tu ambao hawana experience sasa watategemea vipi kushinda??kocha naona kachoka sasa hivi na hajui nini anafanya