Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
it pains sana kaka...... Sijui wana nini tu!!!!!
ha ha ha!, watakuua na presha hawa,...usiwape moyo wako wote bana.
Take it easy...
Together We Stand!
it pains sana kaka...... Sijui wana nini tu!!!!!
bora awe shoga kuliko afe.....it sucks vibaya mno i agree....usiku mwema wapendwa,leo ni zamu yangu nina majukumu ya kifamilia!!
bora awe shoga kuliko afe.....it sucks vibaya mno i agree....usiku mwema wapendwa,leo ni zamu yangu nina majukumu ya kifamilia!!
Lol wakuu kama hamtaki dakika za nyongeza basi msiwe mnafanya faulu.
Duh watani what is happening, naona jamaa kila mkifunga nao wanasawazisha...Stakes are high in north london.
3 - The only other PL game this season that saw 3 goals in the opening 15 mins was Newcastle v Arsenal, (FT 4-4). Opta Stats
Hehhe, ebanae hii mechi na jinsi magoli yanavyoingia watu wanaweza kufa kwa pressure maana hao yids wamepania kweli kweli.Dalili mbaya hizo kwa Arsenal, they desperately need their lucky lady around!
nawewe mkuu hiyo avatar yako ndo inatuletea mikosi hapa....weka avatar za AW akiwa anashangilia uone......:rant::rant:
Wakuu nyie mna moyo sana, mie mechi kama hii ningeshazima tv nakwenda library or something maana kila jamaa wakiattack roho inapanda kohoni....Acha tu kaka, huyu mgonjwa wetu mbishi kunywa dawa, akipata nafuu hafuati ushauri wa dakitari.
Uwezekanao wa kutokea hilo, au hata kupoteza game wala haitokuwa ajabu kwangu.
Nishakuwa sugu sasa.
AW nenda kanywe maji...El Clasico uku tamu sana so far.
Hiyo picha yako kali sana... naona Arsenal wanaanza kupata kadi sasa...Hahahaha! Napenda kumwona Wenger akiwa anaugulia na timu yake, hii avatar ndo yenyewe haswaa!!
Vp wakuu kinaeleweka? Npo bed!