Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Hayo ni maneno ya mtu mzembe na muoga. SIJAWAHI KUPIGWA NA HATOTOKEA WA KUTHUBUTU...
 
Jina sahihi ni Extrovert wewe una tabia kama zangu ingawa kuna kipindi pesa zilitaka zilitaka kunibadilisha tabia yangu hiyo ambayo ni urithi kutoka kwa babu mpaka kwa baba,mimi ni mtu na familia yangu na mtaani naheshimika ila siku za weekend ni kawaida sana kunikuta kijiweni na vijana wa bodaboda tunakula story,msibani watu wanashangaa ninavyoshika chepe kufukia kaburi wakati wa kumzika marehemu maana imezoeleka watu wa aina yangu kwenye misiba huwa hawashiki jembe,mimi ni mtu peace sana kiasi ambacho sometimes inanicost maana vijana njaa wa dar es salaam huwa hawakauki home kupata kitonga cha msosi Hapa mtaani hakuna mchango wowote ninaolipa kuanzia ulinzi shirikishi na mchango wa aina yoyote wa namna hiyo
Wewe ni Mhaya?
 
Ina maana prediction ilisema wewe kwa uelekeo wako wa extroversion tunategemea kidole gumba cha juu kilichofunika kiwe cha KULIA ila majibu yapo tofauti. Sio mbaya data kadhaa kwenda tofauti tukipata majibu mengine tutathibitisha kama kuna uhusiano wa asilimia kadhaa au la.

Bado kura zinaendelea jamani naomba mreply post 90 au 104 mniambie mkiweka vidole kama picha hizo kidole gumba cha mkono upi kinawafunika wenzie wote juu?
Kushoto
 
Enhee, nina jaribio hapa naomba kila anayejiita introvert/EXTROVERT alichukue tuone ni asilimia ngapi ya watu wa namna hii wanafikiri tokea kushoto kwenda kulia.

Weka/kutanisha kwa kujiachia/relax mikono yako kama picha halafu uniambie dole gumba la juu/lilofunika ni la mkono gani??

Nawatag wote naomba mshiriki kwa uaminifu kajiutafiti haka ili tuikubali au tuitupilie mbali nadharia hii Insigne Introvert_007 Extrovert mpasta mdukuzi Lavit Banjuka Nakadori Mwizukulu mgikuru Kanungila Karim Da'Vinci Vishu Mtata Smart911 Kunguru wa Manzese Slowly Jaylee mkabasia jnrs Abuu Said Homo Sapien mwamba_ngori PLO KENZY wambagusta na wengineo baada ya kujicontrast kwanza tabia zao na za mtoa mada [Mfano unasema upo sambamba na yeye au kinyume chake na unataja dole gumba ni la mkono gani KULIA?/KUSHOTO?]

1. Mi naanza - KUSHOTOView attachment 2260928
KULIA
 
😂😂😂😂 kwamba 'utakula cover page'...

Usiwaze bro na wala hatuhitaji hiyo dawa wala nn ni tupo tu. Kuna watu hawajihisi kuishi bila kuwa na vitu/mazingira fulani [having a certain life].

Na kuna watu wanaishi bila kuyahitaji hayo[ they are just being alive🤭]
Duuh kweli duniani tumetofautiana sana.

Lakini mkuu kuna kula, na wengi wao wenye hali hiyo huwa wanaoa mapema (sijui kwanini),hata walioleta shuhuda zao humu wapo ndoani.
Sasa ukisema uishi hivyo usemavyo watoto watakula nini?
Kuchanganyika ni muhimu japo si lazima(ukiwa na pesa), na ni lazima ukiwa kapuku la sivyo utaitwa mchawi uchomwe moto.
 
mimi sipendi kwenda kwenye harusi na sherehe ,sijawai penda even hata ya ndugu tu sikueza kwenda,
kijiweni sipendi kukaa kabisa na siwezi,
kujichanganya na wanaokunywa pombe,au kutukana ovyo sipendi kabisa
sipendi watu wanapiga story wamelala na demu fulani
sipendi kwenda kwenye mpira.
sipendi kwenda disko
sipendi kabisa mazingira ya bar,
kanisani nakua wakawanza kufika nakaa siti ya mwisho . tukisalimiana mi sitaki story

nikijua tabia yako haiendani na mimi nakukimbia haraka
 
Hon Nkundwe na Metamorphosis sawa mmejibu lakini sikuona tabia zenu zinaendana mtoa mada au zinapingana?

Naomba mniambie ni zaidi extro/au intro verted ili tujue kama utafiti unaendana au unapingana na uhalisia.

Plz mkoment kama mnaendana na sifa za mtoa mada au ni zaidi kinyume chake kukamilisha utafiti
 
mimi sipendi kwenda kwenye harusi na sherehe ,sijawai penda even hata ya ndugu tu sikueza kwenda,
kijiweni sipendi kukaa kabisa na siwezi,
kujichanganya na wanaokunywa pombe,au kutukana ovyo sipendi kabisa
sipendi watu wanapiga story wamelala na demu fulani
sipendi kwenda kwenye mpira.
sipendi kwenda disko
sipendi kabisa mazingira ya bar,
kanisani nakua wakawanza kufika nakaa siti ya mwisho . tukisalimiana mi sitaki story

nikijua tabia yako haiendani na mimi nakukimbia haraka
Utakimbia wengi maana mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na akili kama zako.

Wakati wanaume wanamwagilia moyo wewe unawaita walevi.
 
mimi sipendi kwenda kwenye harusi na sherehe ,sijawai penda even hata ya ndugu tu sikueza kwenda,
kijiweni sipendi kukaa kabisa na siwezi,
kujichanganya na wanaokunywa pombe,au kutukana ovyo sipendi kabisa
sipendi watu wanapiga story wamelala na demu fulani
sipendi kwenda kwenye mpira.
sipendi kwenda disko
sipendi kabisa mazingira ya bar,
kanisani nakua wakawanza kufika nakaa siti ya mwisho . tukisalimiana mi sitaki story

nikijua tabia yako haiendani na mimi nakukimbia haraka
Naomba majibu yako
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
 

Attachments

  • MR.-BLUEfingers.jpg
    MR.-BLUEfingers.jpg
    38.5 KB · Views: 20
Mwaka 2005 ilikuwa mwisho wangu kujihusisha na dini/ibada na ni baada ya padri kukataa kumzika classmate.

Sijawahi na sitowahi kuwakubali ccm au yanga/utopolo.

Sipendi kuongea sana hivyo ukinikuta na mtu ujue ni mtulivu kama mimi.

Nashabikia simba na ni mwanachama mkubwa tu ila sijawahi kuvaa jezi ya simba toka utotoni.

Sijawahi kuvaa nguo yenye maandishi au picha au mchoro wowote.

Mimi ni ngumi mkononi na nikipiga ni moja tu.

Sijawahi hudhuria sherehe yoyote, nikienda msibani sijawahi kutazama maiti.

Barabarani ukinizingua nakufata hadi ukipark nakueleza. Ukibishana nakupasua.
Kabila gani wewe?
 
Bangi haikupendi acha.
Unafikiri hata nahangaikaga kuvuta basi? Walaa..... mi yangu ipo mwilini huwa automatically najidose ndanikwandani.

Sasa ntaachaje hapo.

Af umenikumbusha, inawezekana nyie wengine mnao upungufu wa bhangi mwilini ndo maana hamuwezi kufurahi mkikaa peke enu[mnashindwa kuappreciate hata small everyday mundane things]🤔. Tayari nadharia nyingine hiyo 🤦‍♂️😂🤣🤣🤣
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.

(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]

(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.

(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.

Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.

NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi kazini wananiita Brother Sosho (Brother Social), Pamoja na kazi yangu ya taaluma pia wamenipa Kitengo cha Sosho,
napenda kujichanganya sana, napenda kutengeneza marafiki wapya daily,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom