Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Hapo kwenye redio, mnanishangaza mimi baada ya kumaliza Chuo, nilijikuta sihitahi kelele yoyote. Watoto najitahidi japo tucheze na mambo mengine lkn hata wife sipendi anipigie kelele naomba Hela.. mm Nampa mzigo wote. Ikiendelea kelele za mahitaji najikuta naingia sokoni kuemea kila kitu. Yote kuepuka kelele.

Wife ni natural made hata heleni havaagi, she s awesome. Mungu alisikiliza nilichotaka. Watu wengi wanaamin wanawake wanahapwa kisrisiri..mim ikitokea atayemchapa nitajiuuliza na kujiua, Hana dalili ya kutiwa na Mtu zaid yangu.hakuna.

Huwa tabia yangu inasababisha wanawake wanipende Sana. So nachapa lkn Kwa shingo upande. Wao wenyewe wanaonekana kuendana na tabia zangu, hawapendi ujingajinga.

Kwenye Daladala Sasa kasheshe....yaani nakerwa Sana na midundo ya Kwenye daladala, miziki ya Kwenye bodaboda inanikera kupindukia.

Ukinipa lift nafuta niseme nini nisiboe, najikuta naona lift ni zaid za nauli.

Usafiri ukawa muhimu kwangu. Tinted ya maana mzee
 
W
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.

(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]

(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.

(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.

Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.

NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We exactly the same
 
Kwa misongo ya mawazo kama hiyo, hadi anataka mwanamke awe natural amekua mali asili kwani?
Unajifungiaje ndani weekend kama unazo hela, zipo sehemu tele zilizotulia Mtu kama una Laki yako tu mfukoni unaenda kutulia huko bila bugudha,

Umaskini mbayaaaaaaaa
Sawa
 
Mimi tv sitazami kabisa labda iwe documentary na mida mwingine sina time na watu au hata majirani siwasalimii kutokana na kuwa antisocial
 
Kuna nyuzi kibao zinaelezea kuhusu introverts huku, ukisema anti social manaake ni mtu very abnormal.
 
Attachments

  • Screenshot_20220619-220616.jpg
    Screenshot_20220619-220616.jpg
    106.8 KB · Views: 32
Mi kazini wananiita Brother Sosho (Brother Social), Pamoja na kazi yangu ya taaluma pia wamenipa Kitengo cha Sosho,
napenda kujichanganya sana, napenda kutengeneza marafiki wapya daily,
Me pia napenda kujichanganya na marafiki ila sasa shughuli ni kutengeneza hao marafiki, na hata nikiconectiwa nao yaani kuwakeep ni kipengele sasa sijui hata nijiitaje lol!
 
MIMI SIPENDI KUKAA NA WATU AU KUPIGA STORY NA MTU YOYOTE AMBAYE HATUNA MIPANGO INAYOHUSU HELA

PIA SIPENDI SIASA
SIPENDI MPIRA SIMBA ,YANGA
LABDA WORLD CUP TU

NAPENDA KUSIKILIZA MUZIKI HASA NYIMBO FLAN ZA HISIA KAMA WANAZOIMBA BOYS 11 MEN AU WEST LIFE

SIPENDI KUANGALIA TV

NAPENDA KUSOMA VITABU VYA KIZUNGU

NACHUKIA SANA STORY ZINAZOHUSU NGONO NA POMBE

SIPENDI MARAFIKI WANAO NIOMBA HELA SIPENDI KABISA

SIMU YANGU INA MAJINA SITA TU
BABA
MAMA
BOSS WANGU
PROF RWEKAZA
MH MBUNGE MWANA FA
GIR FRIEND

I LOVE THIS LIFE , BECAUSE SIFUNJI SHERIA
 
Hakika hao watu6 ndio watakao kuzika na kukusaidia ukipata shida, , , tujitahidi kushare mambo na jamii zetu tusibaguane....we jamaa daah[emoji16]
 
MIMI SIPENDI KUKAA NA WATU AU KUPIGA STORY NA MTU YOYOTE AMBAYE HATUNA MIPANGO INAYOHUSU HELA

PIA SIPENDI SIASA
SIPENDI MPIRA SIMBA ,YANGA
LABDA WORLD CUP TU

NAPENDA KUSIKILIZA MUZIKI HASA NYIMBO FLAN ZA HISIA KAMA WANAZOIMBA BOYS 11 MEN AU WEST LIFE

SIPENDI KUANGALIA TV

NAPENDA KUSOMA VITABU VYA KIZUNGU

NACHUKIA SANA STORY ZINAZOHUSU NGONO NA POMBE

SIPENDI MARAFIKI WANAO NIOMBA HELA SIPENDI KABISA

SIMU YANGU INA MAJINA SITA TU
BABA
MAMA
BOSS WANGU
PROF RWEKAZA
MH MBUNGE MWANA FA
GIR FRIEND

I LOVE THIS LIFE , BECAUSE SIFUNJI SHERIA
wewe ni mfu aliye hai!!
 
Kwa misongo ya mawazo kama hiyo, hadi anataka mwanamke awe natural amekua mali asili kwani?
Unajifungiaje ndani weekend kama unazo hela, zipo sehemu tele zilizotulia Mtu kama una Laki yako tu mfukoni unaenda kutulia huko bila bugudha,

Umaskini mbayaaaaaaaa
Ndo unacho waza tu kwamba kila tajiri ni mtu wa mitoko

So sad
 
Mwaka 2005 ilikuwa mwisho wangu kujihusisha na dini/ibada na ni baada ya padri kukataa kumzika classmate.

Sijawahi na sitowahi kuwakubali ccm au yanga/utopolo.

Sipendi kuongea sana hivyo ukinikuta na mtu ujue ni mtulivu kama mimi.

Nashabikia simba na ni mwanachama mkubwa tu ila sijawahi kuvaa jezi ya simba toka utotoni.

Sijawahi kuvaa nguo yenye maandishi au picha au mchoro wowote.

Mimi ni ngumi mkononi na nikipiga ni moja tu.

Sijawahi hudhuria sherehe yoyote, nikienda msibani sijawahi kutazama maiti.

Barabarani ukinizingua nakufata hadi ukipark nakueleza. Ukibishana nakupasua.
Kuna muda wa kuwa peke yako na muda wa kuwa na watu
Binafsi Nina muda wa kujumuika na jamii na muda wa kutafakari maisha nikiwa pekee yangu
 
Daah mkuu mimi sijui nina shida gani Nina ego sana na hasira za karibu

Hapa nilipopanga sisalimii mtu niko mimi tu na mambo yangu kuingia na kutoka

Sasa leo natoka nikavuka wamama wawili wanafua nikajibanza sehemu nikawasikia wanaanza kunisema sisalimii mtu kabisa wakanisema weeh

Nikarudi nikawafata nikaanza kuwaashia moto nikawaambia salamu hailazimishwi

Mmoja akaanza kusema unajua sisi sote ni binadamu blah blah nyingi

Nikamwambia salamu hailazimishwi nikasepa zangu
Wewe ujinga tu unakusumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom