Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,691
- 4,437
Naomba majibu yakoAisee..
Naendelea kusoma comments
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
Naomba majibu yakoAisee..
Naendelea kusoma comments
Naomba majibu yakoMi kazini wananiita Brother Sosho (Brother Social), Pamoja na kazi yangu ya taaluma pia wamenipa Kitengo cha Sosho,
napenda kujichanganya sana, napenda kutengeneza marafiki wapya daily,
Maana Rafiki yangu ndiye aliyenipa connection ya kazi na sasa anaendelea kunipa connection ya kazi baada ya kusajiri Kampuni yetu ya Construction =!!
Majibu tafadhali....mimi ndio huwa sielewi kabisa
Mental case.Unafikiri hata nahangaikaga kuvuta basi? Walaa..... mi yangu ipo mwilini huwa automatically najidose ndanikwandani.
Sasa ntaachaje hapo.
Af umenikumbusha, inawezekana nyie wengine mnao upungufu wa bhangi mwilini ndo maana hamuwezi kufurahi mkikaa peke enu[mnashindwa kuappreciate hata small everyday mundane things]🤔. Tayari nadharia nyingine hiyo 🤦♂️😂🤣🤣🤣
mbona hapa umetuongelea ma boss na hatumind?Sipendi VICHEKESHO vya jukwaani
Sipendi vikao
Sipendi miharusi inayoingia ukumbini inarukaruka kama vichaa
Sipendi mabosi wa KIPUMBAVU...napenda mabosi waelewa{wasela}
Sipendi kukaa na kuongelea watu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Wewe ni miongoni mwa wazee ninaowaheshimu mno humu. Shikamoo na heshima yako mzee!Mental case.
Nimekushauri uache bangi inakudhuru.Naomba majibu yako
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
Naomba majibu yako
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
Attachments
Mbona tumeshakuzoea wewe majungu ndio kazi pekee unayoiweza hapa Jamiiforums..Wewe ni Mhaya?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ndiyo ukute mke yule anaependa umbeya basiii kila umbeya anataka kumletea mume wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipendi pia mwanamke muongeaji, hiyo ya simu naona hata mimi ilni ugonjwa wangu maana huwa napenda sana muda wa kutulia niwe na simu mkononiMimi sipendi mijumuiko ya watu huwa napenda kukaa peke yangu rafiki yangu mkubwa ni simu napenda game na kuingia kwenye social network tena kusoma vitu vya msingi.
Sipendi vichekesho, hapa kwenye Radio tumefanana kipindi nipo shule ilikuwa asubuhi nawasha nasikiliza BBC swahili mpaka wanafunzi wenzangu wakawa wananishangaa.
Wanawake sipendelei mpaka nilivyokuja kuoa na mkewangu ananiona naboa maana huwa simuongeleshi sana au kumchekesha na akiniambia kitu cha kuchekesha wala huwa sicheki
Una Bipolar Disorder ya Kiwango cha Kutibiwa haraka tu kabla hali haijawa mbaya na ukaanza Kufanya Mauzauza Mkuu.Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.
(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]
(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.
(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.
Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.
NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bipolar disorder ni niniUna Bipolar Disorder ya Kiwango cha Kutibiwa haraka tu kabla hali haijawa mbaya na ukaanza Kufanya Mauzauza Mkuu.
Mimi ni introvert....98% naendana na mtoa madaHon Nkundwe na Metamorphosis sawa mmejibu lakini sikuona tabia zenu zinaendana mtoa mada au zinapingana?
Naomba mniambie ni zaidi extro/au intro verted ili tujue kama utafiti unaendana au unapingana na uhalisia.
Plz mkoment kama mnaendana na sifa za mtoa mada au ni zaidi kinyume chake kukamilisha utafiti
Ndo kijiwe chenu mlivyodanganyana hivyo?antisocial ni tabia za wenye hela
Mimi inategemeana sio mazingira yote niwe Tu peke yangu Mimi misibani, kanisani ata club naenda marafiki ninao hila sio muda wote nataka kukaa na watu kuna muda tu najisikia niwe peke yangu bila mtuHon Nkundwe na Metamorphosis sawa mmejibu lakini sikuona tabia zenu zinaendana mtoa mada au zinapingana?
Naomba mniambie ni zaidi extro/au intro verted ili tujue kama utafiti unaendana au unapingana na uhalisia.
Plz mkoment kama mnaendana na sifa za mtoa mada au ni zaidi kinyume chake kukamilisha utafiti
Asante sana kwa majibu, umeendana na prediction/bunioMimi ni introvert....98% naendana na mtoa mada