Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Mimi inategemeana sio mazingira yote niwe Tu peke yangu Mimi misibani, kanisani ata club naenda marafiki ninao hila sio muda wote nataka kukaa na watu kuna muda tu najisikia niwe peke yangu bila mtu
Umenipa tabu kukuweka katika kundi maana hoja yako imebalansi.

Nikijitungia mimi nitaathiriwa na bias/kujipendelea ili majibu yawe sahihi

So naomba wewe uchague upande mwenyewe je ni extrovert au introvert zaidi, yaaani upande upi umemzidi mwenzake?
 
Duuh kweli duniani tumetofautiana sana.

Lakini mkuu kuna kula, na wengi wao wenye hali hiyo huwa wanaoa mapema (sijui kwanini),hata walioleta shuhuda zao humu wapo ndoani.
Sasa ukisema uishi hivyo usemavyo watoto watakula nini?
Kuchanganyika ni muhimu japo si lazima(ukiwa na pesa), na ni lazima ukiwa kapuku la sivyo utaitwa mchawi uchomwe moto.
Sure thing

Na kutambua kuwa binadamu tunatofautiana ni dalili ya ukomavu👊

Lakini hujanipa majibu yako asee:
Naomba majibu yako
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
 

Attachments

  • Romafingers.jpg
    Romafingers.jpg
    28.1 KB · Views: 22
Mimi huwa sio mzungumzaji sana, pia sipendi kujulikana sana na watu, ikitokea njia au barabara fulani nimepita mara kwa mara basi nitajitahidi nitafute njia nyingine niihame hiyo ambayo naelekea kuzoeleka.

Pia napenda tukikutana basi tuwe na ishu ya msingi, lakini siyo kutwa tushinde tunapiga stori tu.

Napenda sana watu wanaojitoa kwa hali na mali kujaribu kuleta mabadiliko yenye tija kwenye jamii, iwe ni mabadiliko katika elimu, siasa, uchumi, kilimo, viwanda nk.

Napenda sana kusikiliza speech za watu wanaopenda/waliopenda kuleta mapinduzi kwa watu mf. Hayati mwl. Nyerere, Barack Obama na JPM.

Zaidi sana napenda sana kujisomea vitabu mbalimbali.
Naomba majibu yako
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
 

Attachments

  • Alikibafingers.jpg
    Alikibafingers.jpg
    27.2 KB · Views: 19
Nimekushauri uache bangi inakudhuru.
Lakini wewe unanishambulia tu mara bhangi mara nn

Fanya zoezi utupe majibu ili unisaidie sasa niachane na hii nadharia ya kibangi

Mfano prediction kwako [kama unafavor extroversion] ni KULIA, je? ni kweli?
 
Lakini wewe unanishambulia tu mara bhangi mara nn

Fanya zoezi utupe majibu ili unisaidie sasa niachane na hii nadharia ya kibangi

Mfano prediction kwako [kama unafavor extroversion] ni KULIA, je? ni kweli?
Bangi mbaya sana.
 
Bangi mbaya sana.
Endelea kujiaminisha ila tambua ukizidisha bhangi unapishana na uhalisia, na ukipungukiwa sana bhangi unashindwa pia kung'amua uhalisia.

Bhangi muhimu sana, optimum bhangi ambayo wengi wanayo miilini mwao

 
Ina maana prediction ilisema wewe kwa uelekeo wako wa extroversion tunategemea kidole gumba cha juu kilichofunika kiwe cha KULIA ila majibu yapo tofauti. Sio mbaya data kadhaa kwenda tofauti tukipata majibu mengine tutathibitisha kama kuna uhusiano wa asilimia kadhaa au la.

Bado kura zinaendelea jamani naomba mreply post 90 au 104 mniambie mkiweka vidole kama picha hizo kidole gumba cha mkono upi kinawafunika wenzie wote juu?
Yaani extrovert kidole kitakachofunika ni cha kulia

Na Introvert ni kushoto ?
 
Mm sipendi magruoop ya watup Mara olevel au alevel au chuo cina kbsa hayo mambo kupiga simu na kupost kila siku instrgram au stutus siwezi na sipendi kuvie w stutus za watu Sana ninbora nishinde jf siku nzima ila nisiende kuzurura

Sipendi kupiga story na watu wenye akili ndogo au mademu wahuni
 
Umenipa tabu kukuweka katika kundi maana hoja yako imebalansi.

Nikijitungia mimi nitaathiriwa na bias/kujipendelea ili majibu yawe sahihi

So naomba wewe uchague upande mwenyewe je ni extrovert au introvert zaidi, yaaani upande upi umemzidi mwenzake?
Extrovert mzee
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.

(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]

(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.

(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.

Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.

NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo tabia hazikufanyi kuwa antisocial, kwa maana halisi ya neno hilo. Being antisocial is a very serious problem and you must have committed serious crimes against the society.
 
Kwa waliojibu hadi sasa nadharia imeonesha kutabiri ufikiri wa mtu kwa 87.5%

Tunawashukuru Kanungila Karim Kunguru wa Manzese Sumu ya panya makedonia Zombieboss Metamorphosis Hon Nkundwe kwa kushiriki

Wengine pia mnakaribishwa kuendelea. Ukijibu nitag, tutaupdate matokeo maana hao ni watu wachache sana kuupa utafiti mashiko kisayansi.
AAA_7751.JPG


Ila swali kwa Kunguru wa M...... Ivi bro ulijibu siriazi au ulikuwa unatania tu. Can you clarify your intention ni kweli ni KUSHOTO ama ni KULIA. Kama hamna mabadiliko basi ni watu 7 kati ya 8 ambao nadharia imekuwa sahihi.....ASANTENI SAANA mbarikiwe🙏
 
Sure thing

Na kutambua kuwa binadamu tunatofautiana ni dalili ya ukomavu👊

Lakini hujanipa majibu yako asee:
Naomba majibu yako
Ni kidole gumba cha mkono gani kipo juu kimewafunika wengine ukiweka mikono kama hivi?
KUSHOTO/KULIA?
Majibu gani ndgu??

Sijui ni kodole gani kimefunika vingine ndgu!
 
Majibu gani ndgu??

Sijui ni kodole gani kimefunika vingine ndgu!
Ni unaweka mkono hivi halafu unaangalia kidole gumba kilicho juu ya vingine ni cha upande gani. Ni cha mkono wa kusoto ama KULIA? simple

Fanya chap halafu naomba jibu lako brother
 

Attachments

  • Alikibafingers.jpg
    Alikibafingers.jpg
    27.2 KB · Views: 18
  • Harmonizefingers.png
    Harmonizefingers.png
    331.1 KB · Views: 20

Similar Discussions

Back
Top Bottom