Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Hehehehe...kwanini huwapendi mkuu
witnessj ni Automatically tu nimejikuta nipo hivyo,naweza nikakuta hata na mdada mzuri njiani na nikavutiwa nae ila kuna roho Fulani yenye nguvu inasema achana nae na usitoe hata salamu,na nikafanya hivyo kweli

Naweza nikaenda kijiweni nikawa nimekaa tu bila hata kuchangia mada hata moja ila lengo langu ni kushangaa watu wanaopita,magari na pikipiki

Hata wanawake wanaonikubalia kuingia ktk mahusiano ni wale wanaopendezwa na ukimya,upole na ukarimu wangu

Ni short tempered ila huwa nipo haraka sana kujicontrol na nikikosewa huwa siwezi kutoa msamaha kirahisi kabisa

Ila nimekuwa marafiki wengi kwenye social networks kwa ajili ya kubadilishana mawazo hasa JF ila kwa grounds ni tofauti kabisa
 
Ok nimekuelewa mkuu
 
Nyie mnaopenda kukaa wenyewe huo ni ugonjwa na hakuna dawa nyingine zaidi ya mvinyo.

Ratiba zenu ni fixed sana aisee, yani ni vitabu, movie, simu , kulala baasi.
Hivi siku mkitimuliwa huko makazini mtafanya ishu gani kitaa isiyohusisha watu/kuchamkia watu??

Kwakweli binafsi hiyo hali huwa siipendi, na nahisi huwa ni special kwa waajiriwa na mabwenyenye ila kwa wachakarikaji kitaa ukikaa ndani usome vitabu vya hadithi utakula cover page.
😂😂😂😂 kwamba 'utakula cover page'...

Usiwaze bro na wala hatuhitaji hiyo dawa wala nn ni tupo tu. Kuna watu hawajihisi kuishi bila kuwa na vitu/mazingira fulani [having a certain life].

Na kuna watu wanaishi bila kuyahitaji hayo[ they are just being alive🤭]
 
Tabia za kuwa sijui ant-social ni kukosa hela tu.

Ukiwa na hela mzee unajikuta unachangamka tu.
Mmmmh! not so fast huo u'antsocial' mnaouita ni mfumo mgumu zaidi kwa asiye na hela.

Manake kuiendesha huwa inabidi uwe unajitegemea kwa kiasi kikubwa si mchezo.

Halafu sio kwamba ndo kihiiiiiiivyo huongei, la. Unaongea kwa sababu maalumu na ukiamua kuongea. Kilichoondoka ni ile tu kupiga stori za bar na vijiweni na kushobokea sherehe na mikusanyiko.
 
Enhee, nina jaribio hapa naomba kila anayejiita introvert/EXTROVERT alichukue tuone ni asilimia ngapi ya watu wa namna hii wanafikiri tokea kushoto kwenda kulia.

Weka/kutanisha kwa kujiachia/relax mikono yako kama picha halafu uniambie dole gumba la juu/lilofunika ni la mkono gani??

Nawatag wote naomba mshiriki kwa uaminifu kajiutafiti haka ili tuikubali au tuitupilie mbali nadharia hii Insigne Introvert_007 Extrovert mpasta mdukuzi Lavit Banjuka Nakadori Mwizukulu mgikuru Kanungila Karim Da'Vinci Vishu Mtata Smart911 Kunguru wa Manzese Slowly Jaylee mkabasia jnrs Abuu Said Homo Sapien mwamba_ngori PLO KENZY wambagusta na wengineo baada ya kujicontrast kwanza tabia zao na za mtoa mada [Mfano unasema upo sambamba na yeye au kinyume chake na unataja dole gumba ni la mkono gani KULIA?/KUSHOTO?]

1. Mi naanza - KUSHOTO
Fingers crossed.jpg
 
Hao unaowaita 'antisocial' wanaelewa kuwa wewe upo na ni tofauti na wao na wanakuelewa.

Ila wewe huwaelewi unawaita wachawi!!! .......akili mtu wangu, akili tu🤔
Hata wachawi ni hivyo hivyo ndugu yangu
 
P
Enhee, nina jaribio hapa naomba kila anayejiita introvert alichukue tuone ni asilimia ngapi ya watu wa namna hii wanafikiri tokea kushoto kwenda kulia.

Weka/kutanisha kwa kujiachia/relax mikono yako kama picha halafu uniambie dole gumba la juu/lilofunika ni la mkono gani??

Nawatag wote naomba mshiriki kwa uaminifu kajiutafiti haka ili tuikubali au tuitupilie mbali nadharia hii Insigne Introvert_007 Extrovert mpasta mdukuzi Lavit Banjuka Nakadori Mwizukulu mgikuru Kanungila Karim Da'Vinci Vishu Mtata Smart911 Kunguru wa Manzese Slowly Jaylee mkabasia jnrs Abuu Said Homo Sapien mwamba_ngori PLO KENZY wambagusta na wengineo baada ya kujicontrast kwanza tabia zao na za mtoa mada [Mfano unasema upo sambamba na yeye au kinyume chake na unataja dole gumba ni la mkono gani KULIA?/KUSHOTO?]

1. Mi naanza - KUSHOTOView attachment 2260928
Prediction: kama ni nadharia ya kweli hii hapa

AAA_7747.JPG

Naomba mjibu niliowatag haswa tusiwe na watoro wengi jamani.

Ni simple tu kutanisha vidole kama picha hapo juu halafu tuambie kidole gumba cha juu ni chs KUSHOTO ama KULIA?
 
Mie napenda nyweele ndefu tu!! baaasi yaani nikiziwekea mkono hivi baasi umeniweza hasaaa zile nyeusiiiii jamani mweee!! weye nifugie tu hizo ntakupenda mpaka basi!!

halafu ukubwa wa kuongoza na kusema sema jamani mweee!!! napenda vyeo mpaka nasikia maumivu! tangia chekechea niko ivo!! mpaka sasa!!
 
Yaani mtu kabisa unajiita antisocial!! Labda hujui maana ya anti-social
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina vitabia ambavyo ni ngumu kunibadilisha na kujibadilisha,
(1) Sipendi kuangalia TV, utaniona kwenye TV hasa kukiwa na mpira wa miguu vinginevyo mie ni mtu wa redio kwa sana, tena hasa TBC TAIFA na vipindi vyangu vile taarifa za habari, hotuba za baba wa taifa, muziki wa zilipendwa ukichambuliwa na MASOUD MASOUD mie kwangu burudani kabisa.

(2) Mwanamke/Msichana akijipodoa sana kwangu anaboa. Akijitoboa pua yake hata kutazama sura naogopa kabisa, akijifunga vikuu miguuni ananiboa, n.k.Napenda sana Mwanamke awe Natural, yaani aoge zake apake mafuta yake ya nazi na kumchana nywele zake au asile twende kilioni[emoji1787][emoji1787]

(3) Sherehe Sherehe hizi sijui za Ndoa, Birthday DAAAH hizo ndio sizipendagi kabisa, kama ndoa nitaishia kutoa mchango tu lakini ukumbini hunioni. Kichwani naona kama kupotezeana muda tu, watu wanaonyeshana uzuri wao, mavazi yao, na ratiba nyingi zisizo na kichwa wala miguu.

(4)Nipo DSM kwa zaidi ya miaka 20 tokea nipo Form 1 sijatoka tena lakini kwenda Beach kujipumzisha hata mara 10 hazifiki. Hayo maonyesho ya Sabasaba hata viwanja vyenyewe sijawahi kukanyaga, n.k.

Kwa ufupi kama sina Issue ya kunitoa Home, nitakaa tu na watoto wangu wanafanya home work zao za shule mie nipo pembeni yao nasoma vitabu vyangu vya riwaya tu vya akina Willy Gamba, Ben Mtobwa,Hammie Rajab, John Simbamwene, n.k nikichoka Riwaya nitarukia vitabu vya akina Kiyosaki,Robin Sharma.

NAENJOY maisha yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sipendi VICHEKESHO vya jukwaani
Sipendi vikao
Sipendi miharusi inayoingia ukumbini inarukaruka kama vichaa
Sipendi mabosi wa KIPUMBAVU...napenda mabosi waelewa{wasela}
Sipendi kukaa na kuongelea watu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Enhee, nina jaribio hapa naomba kila anayejiita introvert/EXTROVERT alichukue tuone ni asilimia ngapi ya watu wa namna hii wanafikiri tokea kushoto kwenda kulia.

Weka/kutanisha kwa kujiachia/relax mikono yako kama picha halafu uniambie dole gumba la juu/lilofunika ni la mkono gani??

Nawatag wote naomba mshiriki kwa uaminifu kajiutafiti haka ili tuikubali au tuitupilie mbali nadharia hii Insigne Introvert_007 Extrovert mpasta mdukuzi Lavit Banjuka Nakadori Mwizukulu mgikuru Kanungila Karim Da'Vinci Vishu Mtata Smart911 Kunguru wa Manzese Slowly Jaylee mkabasia jnrs Abuu Said Homo Sapien mwamba_ngori PLO KENZY wambagusta na wengineo baada ya kujicontrast kwanza tabia zao na za mtoa mada [Mfano unasema upo sambamba na yeye au kinyume chake na unataja dole gumba ni la mkono gani KULIA?/KUSHOTO?]

1. Mi naanza - KUSHOTOView attachment 2260928
Kushoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom