Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu

Attachments

  • Alikibafingers.jpg
    Alikibafingers.jpg
    27.2 KB · Views: 24
Unechapia, mimi ni L
Hapana wewe data yako imetiki iliyofeli ni ya Kunguru wa Manzese hadi sasa kura mbili ni 50/50

soma KEY imetumika kiswahili L=LIA, S=SHOTO nipo naweka tiki ikipatia prediction ikifeli naweka kosa baadaye tutajua ni kwa asilimia ngapi inaukweli/uongo
 
Hapana wewe data yako imetiki iliyofeli ni ya Kunguru wa Manzese hadi sasa kura mbili ni 50/50

soma KEY imetumika kiswahili L=LIA, S=SHOTO nipo naweka tiki ikipatia prediction ikifeli naweka kosa baadaye tutajua ni kwa asilimia ngapi inaukweli/uongo
sawa mganga
 
Mwaka 2005 ilikuwa mwisho wangu kujihusisha na dini/ibada na ni baada ya padri kukataa kumzika classmate.

Sijawahi na sitowahi kuwakubali ccm au yanga/utopolo.

Sipendi kuongea sana hivyo ukinikuta na mtu ujue ni mtulivu kama mimi.

Nashabikia simba na ni mwanachama mkubwa tu ila sijawahi kuvaa jezi ya simba toka utotoni.

Sijawahi kuvaa nguo yenye maandishi au picha au mchoro wowote.

Mimi ni ngumi mkononi na nikipiga ni moja tu.

Sijawahi hudhuria sherehe yoyote, nikienda msibani sijawahi kutazama maiti.

Barabarani ukinizingua nakufata hadi ukipark nakueleza. Ukibishana nakupasua.
Utakuja upigike ujishangae. Usifikiri ubabe ni njia ya suluhu. Mtu akifanyia isivyo achana naye huo ndio ushujaa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hapana wewe data yako imetiki iliyofeli ni ya Kunguru wa Manzese hadi sasa kura mbili ni 50/50

soma KEY imetumika kiswahili L=LIA, S=SHOTO nipo naweka tiki ikipatia prediction ikifeli naweka kosa baadaye tutajua ni kwa asilimia ngapi inaukweli/uongo
Kwa hapo ina maana gani ?
 
1.Sipendi mwanamke anaejiremba sana
2.sipendi mikusanyiko hasa sherehe
3.Napenda kusoma (kwa simu),mpira,kusikiliza radio
4.sipendi kelele (kuishi kwenye muingiliano mkubwa wa watu) hasa maeneo ya katikati ya mji.
5.nafurahia kuwa peke yangu muda mwingi
6.sipendelei sana outing ama kuzurura
7.kivumacho saana kwangu hakinipendezi ie. music
 
Kwa hapo ina maana gani ?
Ina maana prediction ilisema wewe kwa uelekeo wako wa extroversion tunategemea kidole gumba cha juu kilichofunika kiwe cha KULIA ila majibu yapo tofauti. Sio mbaya data kadhaa kwenda tofauti tukipata majibu mengine tutathibitisha kama kuna uhusiano wa asilimia kadhaa au la.

Bado kura zinaendelea jamani naomba mreply post 90 au 104 mniambie mkiweka vidole kama picha hizo kidole gumba cha mkono upi kinawafunika wenzie wote juu?
 
Mimi sipendi mijumuiko ya watu huwa napenda kukaa peke yangu rafiki yangu mkubwa ni simu napenda game na kuingia kwenye social network tena kusoma vitu vya msingi.

Sipendi vichekesho, hapa kwenye Radio tumefanana kipindi nipo shule ilikuwa asubuhi nawasha nasikiliza BBC swahili mpaka wanafunzi wenzangu wakawa wananishangaa.

Wanawake sipendelei mpaka nilivyokuja kuoa na mkewangu ananiona naboa maana huwa simuongeleshi sana au kumchekesha na akiniambia kitu cha kuchekesha wala huwa sicheki

Sijawahi pia kupenda comedy kabisa
 
Mimi huwa sipendi kujumuika na watu.Muda mwingi huwa napendelea kusikiliza mziki,redio,kuperuzi JF au kucheza games pale niwapo huru na kazi.

Katika siku,naweza cheza games kwa hata saa nne,kusikiliza redio saa nne na kusikiliza mziki saa moja.

Huwa sipendi kujipendekeza.Salama kwa watu wazima huwa ni kila siku alafu nafanya mambo yangu.Ila salamu kwa vijana wenzangu utakuta leo namsalimia,kesho akipita akanipiga buyu asinisalimie yeye imeisha hiyo,nitakuwa nampita tu nafanya mambo yangu.Ila kama akipita akanisalimia huwa tunasalimiana 50/50 hakuna kujipendekeza kudadeki.Salamu ninayotoa 100/0 ni kwa walionizidi umri tu.

Wanawake ndiyo kabisa nilishagundua ukiwa unawasalimia salimia hovyo wanakuona kibaraka Chao.Huwa ninafanya mambo yangu alafu huwa sipendi kuongelewa au kuangaliwa.Jana nilienda dukani kuna manzi nayo ikaja haijatoa salamu wala nini ikawa inaniangalia,nikampigia mbuzi kudadeki akageuza kichwa mimi huyo nikaondoka zangu baada ya kupata huduma.

Halafu wanaume wamepungua kweli. Siku hizi unapita zako unaanza kushangaa wanaume wenzako wanakuangalia na hii ni obviously lazima wakuongelee.

Nipo kanda ya ziwa kikazi watu wa huku nilivyopata experience wana ukabila na wanajiona bora sana. Sasa mimi sitaki shobo na mtu ni mwendo wa mbuzi na mambo yangu na sitaki ushenzi ukileta mazoea nakuzingua,Ili wajue kuna wanaume nje ya kanda ya ziwa.

View attachment 2256983

Ukikutana na mtu mzungumzaji anaweza sema kuwa unaringa,lakini kumbe sivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom