Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mzunguko utafute ulete wewe, sasa serikali inafanya biashara,
Au umesikia kuna watu wanadai mishahara hawajalipwa?

Nawashangaa sana. Wao wanalimia wapi? Serikali ndio imewafilisi? Mbona hatujasikia hayo malalamiko ya watu wa kyela?
Uzushi ndio kazi yao.
CCM itaendelea kushika dola.
 
Sijui anatupeleka wapi, ila najua kuwa anajua kuongoza serikali ambayo ni pragmatic!
 
Sikiliza, wewe ndio umepotea. Umezoea maraisi waliokuwa wanashughulika na mambo madogo madogo. Huyu wa sasa anafanya vitu vikubwa. Mf umeme, miundombinu, Reli, bandari, ambapo maisha ya wa Tanzania yatakuwa juu sana miradi hiyo ikikamilika. Pia ameweza kudhibiti Wizi wa rasilimali za uma kama Madini na kukusanya kwa uhakika mapato ya ndani. Mambo haya sio wengi wanayaelewa. Wana macho lakini hawaoni.
 
Wabaona, wanasikia na wanajua ila wanafanya kusudi tu. Achana nao.
CCM oyeee
 
Wabaona, wanasikia na wanajua ila wanafanya kusudi tu. Achana nao.
CCM oyeee
Kwa huku anapotupeleka hapana kwa kweli...CCM mmepoteza vibaya...!
IMG_20200908_092840.jpg

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Kawaambia watu wa Shinyanga ambao hata hawajui watakula nini kwamba atawaletea ndege zingine 5
 
Duh,muanzisha mada wewe uliona mbali na uliona mapema kwamba tumepotea
Niseme wamepotezwa wale waliotumbuliwa kwa kukosa vyeti,kuuza cocaine, kupiga dili.wengine tuko imara. ng'ara Raisi wetu ng'ara. Amepoteza mpaka COVID 19. Tuko imara.
 
Niseme wamepotezwa wale waliotumbuliwa kwa kukosa vyeti,kuuza cocaine, kupiga dili.wengine tuko imara. ng'ara Raisi wetu ng'ara. Amepoteza mpaka COVID 19. Tuko imara.
-mishahara nyongeza vipi huko?
-ajira kwa vijana vipi huko?
-kupanda madaraja vipi huko?
-hali ngumu ya maisha vipi huko?
-FAO la kujitoa vipi huko?
-mwalimu kupata laptop vipi huko?
-Milioni 50 kila kijiji vipi huko?
-sheria kandamizi mfano Takwimu act,locol content regulations,
 
Hayo yote umesema vyema, lakini hujatuambia huko tulikokuwa tulikuwa kwenye utawala wa Chama gani waliofanya uzembe huo mpaka JPK kaja kututoa huko!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom