Mabeberu ni kina nani na nchi gani?wewe ni mtambo kweli, unadhani utatengeneza uchumi wa nchi yako kwa kuwachekea mabeberu? tatizo lenu vijana vichwa vyenu vimejaa maji haviwez kuchanganua mambo katika mtizamo sahihi.
Pole sana lakini hamna namna nyingine ya kumsadia Lissu ni kumwambia ukweli tu. Ukweli mchungu.
Huo unao uulizia.Ukweli upi?
Amerika na washirika wake Uingereza, German, Ufaransa na nk. hawa ndo kikwazo kikubwa cha maendeleo ya mwafrika.Mabeberu ni kina nani na nchi gani?
wakuhurumiwa ni wewe usie huru kifikra, hujui kuchambua uhalisia unaendeshwa na mihemkoWewe wakuhurumiwa.
Very low in reasoning
mkuu kumbe uhalisia wa mambo unaujua alafu unaleta blah blah
unaweza kua upo sahih usemacho bt mkuu ikiwa tutajenga utamaduni wa kujadili mambo kiuhalisia bila ushabiki tunaweza kua chachu ya mabadilikoSerikali ya sasa kwa hili sahau
unaweza kua upo sahih usemacho bt mkuu ikiwa tutajenga utamaduni wa kujadili mambo kiuhalisia bila ushabiki tunaweza kua chachu ya mabadiliko
Kiualisia naona unajitoa ufaham sioni mantiki ya ww kutojua unapoelekea kama uko ndani ya nchi....labda useme unapenda kuona nchi ikirudi nyuma kimaendeleo ntakuelewa