Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
Kwa nini miaka mitano ya Magufuli inatosha?
*Utawala wake hauheshimu katiba na sheria
*Maamuzi mengi ni ya mtu mmoja. Baraza la mawaziri lipo tu.
*Bunge limekosa ueledi wa kusimamia serikali. Amekua akilisimamia atakavo
*Matumizi nje ya Bajeti za Bunge
*Usiri katika matumizi ya miradi yake.
*Kuwatia hasara wafanyakazi kwa kusimama kwa miradi ya Mifuko ya hifadhi. Mabilioni yame kwama.
*Mifuko ya hifadhi kutumika kufanya investments kinyume na SSRA investments guidelines.
*Kusababisha biashara kupungua kutokana na yeye kutopenda wafanya biashara.
*Ukosefu wa ajira both serikalini na secta binafsi
*Wanafunzi wengi kukosa nafasi za kuingia shule na kuendelea secondary kutokana na ukosefu wa shule na madarasa mapya.
*Elimu kushuka kiwango cha kutisha
*Miradi mikubwa kujengwa chini ya kiwango na nje ya master plans za miji na taifa.
*SGR kuwa implemented hovyo bila kufikiria uchumi wa bandari
*Manunuzi ya ndege bila kuwa na working plan yoyote na kufanya ndege hizo ku park tu muda mrefu.
*Kuufuta mradi wa kimkakati wa bagamoyo kwa sababu za kubuni. Mradi ambao ungekuza sana uchumi wa bandari na viwanda. Hata SGR ingeanza bagamoyo. Mapungufu ya mkataba sio sababu kwani investors huzungumza
*Kuzorota kwa haki za binadamu. Watu kupotea na wengine kuuawa bila kufanyiwa uchunguzi kama walio potea ni kuku.
*kupigwa risasi mbunge Lissu na kutojali.
*Uhuru wa vyombo vya habari kumalizwa kabisa na kila mmoja kuogopa kuandika ukweli.
* Waandishi kupotea kama Azory na kuonekana kama kapotea kuku
*Wakulima wa Korosho , ufuta , mbaazi na tumbaku kutiwa hasara kibabe
* Miji yote kuchafuliwa kwa sera mbovu ya kuwaachia machinga wafanye wanavo taka.
*Sera ya viwanda ilo goma
*Sheria za kubana social media na kuweka masharti magumu kwa wahabarishaji.
*Kufungia magazeti yasio tii amri za kusifu mfamo Tanzania Daima.
*Kupungua kwa FDI kutokana na sera zisizo eleweka
*Diplomacy na mahusiano na marafiki na dunia kupungua au kutoweka kabisa.
* Kuzorota kwa urafiki na mahusiano na jumuia za EA na Sadc
*Kujaribu kuua kwa makusudi mfumo wa vyama vingi.
*Kutoa vipaumbele kwa maeneo yenye ccm wengi
*Kujenga chato kwa upendeleo tu.
Masheikh wa Zanzibar bado kubaki wakiteseka bila kesi wala ushahidi
*Kesi za uhujumu za kukomoana
* Washukiwa ufisadi kutoa ngawira kuachiwa
*Ufisadi zimamoto na uhamiaji kumalizwa kishkaji
Na sababu lukuki ambazo ni valid kuwa ni bora akapumzika
Sent using Jamii Forums mobile app