Jadason Monga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 366
- 347
comment nyingi Zina onyesha hukuwa kiongozi mzuri maoni yangu fanyia kazi taaluma uliyo nayo achana na siasa mkuu
Maswali yangu Kwako ni mawili tu nayo ni......Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Wewe kweli Ni mchumia tumbo. Yaani unataka kulitumia Neno kujinufaisha kwa kisingizio cha 'kujenga ufalme!!?' Hivi unakumbuka wale akina Sanbalat na Tobia walitaka washirikishwe kwenye ujenzi kule Yerusalemu, Ezra na Nehemia waliwajibu nini!!? Hawana sehemu katika kazi ile!!!Mkuu samahani kama nimekukwaza, lakini kutoa tu support kujenga nyumba ya Bwana kunamzuiaje mtu kutubu dhambi zake (kama anazo)? Tafadhali hata wasiomjua Mungu wanaweza kutumiwa kujenga ufalme, karibu na wewe mkuu wangu tusaidiane kuujenga ufalme.
Sasa P, Mbona Mwigulu ameanza Tena kujipendekeza kwa Shetani yuleyule, au leo Shetani yule kabadilika na kuwa malaika Gabrieli!!!?Jee unajua ni kwasababu gani alitumbuliwa?.
Mambo mengine acheni!, hata ikitokea Mungu akampenda zaidi na akamuita KWAKE leo, Mwigulu anakwenda straight peponi, zipo taarifa kuwa wakati akiwa waziri, Mwigulu alibatizwa, na ubatizo ni kumkataa shetani na mambo yake yote aliyakataa!.
P
Mbona Iramba ndo Swali la msingi mzee? Kama Hilo lingine la URAIS ni la kizushi tu.URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Mkuu Nguruvi 3, kwanza ni kweli karma haijitokezi direct pale kwa pale na sometimes wewe unaweza kutenda maovu na ukafa vizuri bila kufidia, lakini kikaja kulipa kizazi chako hadi cha 4!, 4th generation!."P Mkuu P, somo la Karma ni pana sana.
Karma haijitokezi kama watu wanavyotarajia, hujitokeza kwa namna nyingi na tofauti sana.
Mfano 1: Marekani mtu aliua mkewe na kumzika uani. Imepita miaka zaidi ya 20 hakuna aliyejua nini kilitokea.
Nyumba imeuzwa, mnunuzi akaamua kuchimba uani katika kutengeneza na kuimarisha nyumba yake.
Alikutana na mabaki ya marehemu, uchunguzi ukabaini mumewe alimuua. Karma ikajitokeza jamaa kanaswa.
Hapa nikama tukio la kwanza, hakuna mtu aliye keep track ya maisha ya huyo kijana katika miaka hiyo 10 baada ya kuua baba yake!. He was living hell!.Mfano 2. Same Kilimanjaro kuna tukio la mtu aliyepotea baada ya kuchukua mafao yake.
Mkewe alipofariki akataka azikwe eneo X. Wakachimba pale pale mumewe alipozikwa.
Ikabainika aliyetenda unyama ni mwanae miaka zaidi ya 10.
Mama kutaka azikwe eneo X ilikuwa ni 'Karma' ili mwanae inamrudi leo hii.
Miaka yangu, ulikuwa ukimaliza A level unakwenda JKT kwa mujibu wa sheria, mimi nilikuwa bingwa wa paredi na shabaha, nikachaguliwa moja kwa moja kujinga na JWTZ straight from JKT, hivyo nikapiga deppo mpya ya JW pale Airwing kabla ya kwenda Cadet Monduli, sasa kwenye somo la mbinu za medani, kuna kitu kinachoitwa "initiative", mkishambuliwa, mkijikuta wenzako wameumia sana, huwezi kusaidia na unatakiwa ku retreat, au atakufa kwa mateso, unatakiwa wewe kuwaalizia bila huruma ili kuwapunguzia mateso, askari wote wanaofanya mauaji ya kikatili hiyo au hata kushuhudia tuu ukatili wa ajabu, ndio huja kupata PSTD, hiyo sio karma bali ni guilt conscious.Mfano 3; Marekani kuna wimbi la askari kupata matatizo wakiyaita PSTD(Post stress traumatic disorder)
Idadi ya askari wanaojiua kila siku inaongezeka na hata kuwa ''janga''. Je, hii si karma ? Amri halali ndiyo subject hapa.Vitani ni amri halali.
Amri halali ni amri yoyote unayopewa na mkubwa wako, kijeshi usihoji. Kwenye ile idara ya wale jamaa zetu, kuna kitengo kabisa cha covet operations, kinafanya eliminations na kina ma snipers wenye shabaha ajabu, ndio maana nikasema kama wangekuwa ni wale jamaa zetu kwenye tukio la Lissu, wasinge fanya such mercy dirty job!, they have 100 ways plus za kufanya a clean job hata accident look a like na watu wasijue!. Hili nimelieleza vizuri hapaMnyongaji anatenda kwa amri halali tena mchana kweupe baada ya process nzima ya uhalali kufanyika.
Wanaokabiliwa na adhabu ya kunyongwa kamwe hawalaumu wanaotimiza wajibu.Ni amri halali.
Swali, amri halali mipaka yake ni ipi?
Kuna sababu inaitwa halali, kwa maana imepitia hatua halali, imeelezwa kihalali, imeidhinishwa kihalali.
Hata vitani kuna kitu kinaitwa ''rule of engagement' kwamba, kuna abcd za kufanya na kutofanya.
Uwepo wa 'rule of engagement' unalenga kuhakikisha askari wanatimiza amri halali kama ilivyoelezwa.
Kwahiyo amri halali ina namna zake na mipaka yake si ''open season''
Its true watu wengi hujitoa kwa kunawa mikono kuepuka karma, hata Pilato alinawa mikono kabla ya kumhukumu YESU hii haiondoi karma!, pia nilishikwa sikio, kuna mtu alisulubiwa kwasabu ya kunawa mikono kwa tukio la Lissu, naomba msiniulize nani!.Mkuu P huku mitaani watu hujitoa katika baadhi ya maamuzi ya Familia au Ndugu yenye utata.
Kauli kubwa unayoisikia ni moja '' wana nawa mikono yao'', kwa maana wanajiepusha na ''karma''
Hoja yangu hapa ni maoni tu ya jumla juu ya Karma. Hailengi kuhusu tukio au watu kwa namna yoyote
Hayo maandiko ya herufi kubwa yananikumbusha SUALA LA KULINDA KATIBA NI LETU SOTE! Kiongozi hii ni plagiarism au?Sikuwahi kuandika, hata sijui wapi na wapi pameandikwa. Maana ilikuwa kazi ya mashabiki. Tufute tu maana swala la USAFI WA MAZINGIRA NI LETU SOTE
Kiongozi umesema utajibu maswali sasa haya mambo ya kusema mara nitafute nikujibu yanatoka wapi? Jibu kwa faida ya wana JF wote hapa jamvini na siyo unaulizwa swali unasema nitafute pembeni. Wangapi unataka tukutafute pembeni? Weka majibu hapa mambo yaishe.Bila bila,
Nitafute nikufafanulie maana inaonekana HUJUI KABISA
Mkuu pascal mayala una uhakika gani kwamba anaenda peponi? Unafanya kazi kuume kwa Mungu Baba? Wewe ndio mwandishi kwenye kitabu cha Uzima? Nenda taratibu acha shiriki.Jee unajua ni kwasababu gani alitumbuliwa?.
Mambo mengine acheni!, hata ikitokea Mungu akampenda zaidi na akamuita KWAKE leo, Mwigulu anakwenda straight peponi, zipo taarifa kuwa wakati akiwa waziri, Mwigulu alibatizwa, na ubatizo ni kumkataa shetani na mambo yake yote aliyakataa!.
P
Bila bila,
Nitafute nikufafanulie maana inaonekana HUJUI KABISA
Hivi Ni Sheria gani anayoisema Pascal Mayalla kuwa inampa Haki aliyeagizwa kumwaga on the line of duty?P. Nakuona unavyompaka mafuta kwa mgongo wa chupa !!. Unadhani amri hizo zilitolewa na nani na kwa faida gani ?!. Imefikia Leo Tanganyika tunanyooshewa vidole, kwa kuacha kuheshimu haki za binaadamu, na kwa sababu za amri za hovyo kama hizo
Mwigulu alikubali kutumika, acha aione taswira yake watu wanavyomchukulia mitaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata bashite kabatizwa na kwa maoni yako atakwenda straight peponi maana hata machozi huwa anayamwaga mazabauni..Jee unajua ni kwasababu gani alitumbuliwa?.
Mambo mengine acheni!, hata ikitokea Mungu akampenda zaidi na akamuita KWAKE leo, Mwigulu anakwenda straight peponi, zipo taarifa kuwa wakati akiwa waziri, Mwigulu alibatizwa, na ubatizo ni kumkataa shetani na mambo yake yote aliyakataa!.
P
Huhitaji kumwelewa mtu, bali ni kiwango chako cha uelewa, nimesema unajua wale "jamaa zetu" wana kitengo kabisa cha covet operations na wana ma snipers?.Mi huyu mwandishi sijawahi kumuelewa kwa kweli pamoja kujikuta mjuaji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila bila,
Hi Post ina VITU VINGI, VINGINE KWA SASA MIMI SIO MSEMAJI WA MAMBO HAYO.
ILA ANAYEHITAJI KUJUA NINACHOKIJUA ANITAFUTE KWA SIMU NIMFAFANULIE