Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Pamoja na kwamba katika mambo mengine hayana ushahidi wa moja kwa moja kuhusu ushiriki wako lakini hili la Rwakatale linakutia hatiani moja kwa moja kuwa ulishiriki pasiposhaka kuwa wewe ndiye uliyekuwa bwana mipango wa mambo yote yaliyompata Rwakatale na uthibitisho wake ni kinywa chako mwenyewe kwa kusema kuwa Rwakatale ni gaidi na ukotayari kwenda kutoa ushahidi kuthibitisha kauli yako mpaka mbinguni.

Mwisho wake ilikuja kubainika kuwa hakuna cha ugaidi wala mama yake ugaidi anaohusika nao Rwakatale, mateso aliyopata pamoja na familia yake yalitokana na mambo ya kutungwa kiongozi ukiwa ni wewe mwenyewe, na sijui ni kitu gani kilichokufanya ujitoe muhanga kumuzulia mwenzako na kuteseka kwa kitu ambacho hakukifanya na ninaamini kuwa hata roho yako inakusuta kwa vitendo vya kizushi ulivyomfanyia mwenzako.

Nahapo ndipo ninapoona kuwa ni vigumu sana kwa mwanasiasa hasa kwa wanasiasa watawala kuja kuuona ufalme wa mbinguni.

Unahitaji kuombewa, unakwenda kanisani kila jumapili unakwenda msikitini kila ijumaa lakini raia wako wanatekwa na kuuawa, raia wako wanapigwa risasi mchana kweupe, na hakuna hatua zozote unazozichukua kama kiongozi, raia wanafunguliwa kesi za kubambikizwa yote hayo kwako unaona ni sawa tu kwa kuwa siyo wafuasi wako.

Pengine hata kiti ulichonacho umepata kwa kudhulumu, umehonga ndo ukapata, umedhulumu haki ya wapiga kura ndo ukapata, umechinja wapinzani wako ndo ukapata, umeiba kura ndo ukapata, umefanya kama kile kilichofanyika kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa ndo ukapata, na yote haya unaona uko sawa tu na bila aibu unahitaji kuombewa na unakwenda kanisani na msikitini kumwabudu Mungu.
 
Jee unajua ni kwasababu gani alitumbuliwa?.
Mambo mengine acheni!, hata ikitokea Mungu akampenda zaidi na akamuita KWAKE leo, Mwigulu anakwenda straight peponi, zipo taarifa kuwa wakati akiwa waziri, Mwigulu alibatizwa, na ubatizo ni kumkataa shetani na mambo yake yote aliyakataa!.
P
Una maana huu ubatizo maarufu wa moto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katelekeza Uzi dadeki alidhani hapa ni Facebook ataulizwa maswali ya unampenda MKE wako ??


Unapenda mziki gani? Kati ya Diamond na ali kiba Nani zaidi? ... Je Manchester United na Arsenal wewe ni shabiki wa timu gani ??


Hapa kapigwa maswali ya uzalimu na ushetani alionao ndani huku "likijifanya" ni binadamu lenye utu kumbe "Ibilisi" lenye jicho moja. Maswali yalipomzidi akaanza kusema mnipigie simu niwajibu vizuri ili apate kunywa damu za watu wengine.



The Devil is Living

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee usiwaskiilize hawa waosha vinywa. Unapokuwa kiongozi lawama haziepukiki.

Kuna walio fitinisha hapo maksudi ili apate lawama.
Huwezi pendwa na kila mtu. Yesu mwenyewe hapendwi
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Tundu Lissu alipigwa risasi wew ukiwa waziri wa mambo ya ndani

1. Kina nani walimpiga risasi Lissu nani alitoa agizo kutekelezwa

2. 'Lissu assasination' wew ulikua waziri wa mambo ndani ulichukua hatua gani kuwapata wale wahuni

3. Ben Sa8 yupo wapi? Nafikiri ukiwa waziri wa mambo ya ndani ulikuta file la uchunguzi kupotea kwa Sa8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amejibu kuwa sio kila kitu cha kujibu public halafu ana kiapo kwani bado mbunge...jiongeze hili jibu liko wazi sana
Mwigulu Nchemba nakuuliza Leo Mara ya pili,Ben Saanane huko wapi?
Nafahamu sana jinsi ulivyokuwa karibu naye,nafahamu sana jinsi ulivyokuwa hata unahitaji ushauri wake,please tafuta namna yoyote ya kunijibu Ben yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakisaidia nini wewe ule na usomeshe wanao, na kiwa na kila kitu inachohitaji kwa mgongo wa kitekeleza maagizo ya mkuu wako kwa kimwaga damu au kudhuru tena mume, au baba wa watoto wengine?
Wameleta ujane, iyatima kwa ajili ya vyeo na heshima.

Sasa hivi naye ameonja aibu ya bwanake aliyentumikia kwa utii wa kitekeleza chochote.
mwigulu Nchemba
Watu wenye sifa ulizozitaja hawana tofauti na mbwa wanatumwa na kwenda tu wala hawa reason, mwambieni binadamu hu reason. He go to hell! Coward!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru tu hapo kaubunge, na kubebwa bebwa na serikali ya kikqete. Lakini ndio anapotea hivyo jumla. Asante Magufuri kwa kutupotezea hawa waliojiita Mungu watu akina nape,mwigulu,masele na wengineo
 
Back
Top Bottom