Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Ukiandika kwa Herufi kubwa naona kama unatukoromea.NAONESHA MSISITIZO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiandika kwa Herufi kubwa naona kama unatukoromea.NAONESHA MSISITIZO
Hakuna Maswali yalio jibiwa hapa ,ni blah blah tu.Maswali mengi ya Meingi ameyapuuzia.
Mkuu hebu jaribu kumuheshimu Mwigulu Mchemba 1.Kama Mwanafamilia wa JF
2. Kama waziri aliyepita
3.Kama mbunge
UCUF au uchadema wetu usitupelekee Kukosa uungwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna taarifa hata kidogo, fuatilia upate ukweli ndio uje uandike. Kama kawaida nadhani unatamani niishi kama mbwa koko. nikuhaikikishie watafute wenye taarifa wakwambie nani aliwasaidia walipokuwa na matatizo
Mkuu Hito, laiti ungelijua...,Sasa na wewe p hayo ndio maswali ya msingi mi nilijua utakuja na maswali ya maana unaanza kuuliza personal issues
Siku hizi huna vya maana mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri sanaUkiwa kama msomi wa PHD na waziri uliehudumu kwa vipindi kadhaa, unaonaje sasa ukienda kujiajiri ukitumia hiyo PHD yako na elimu yako ya uchumi ili uwe mfano kwa hawa vijana tunaowaambia kila siku wajiajiri??
Huyu @ Mwigulu angekuwa kwenye jamii zilizo staharabika angekuwa gerezani. Anajiita msomi lkn angalia hata issue ya Nondo Abdul ilivyo mwacha uchi.Wewe kwisha habari yako, ulinyanyasa na kuwatesa sana watu, ulijivua ubinadamu, ukajivisha ukatili, ukasahau kuwa cheo ni dhamana. Leo upo Unaishi kwa hofu ya kupoteza ubunge. Pole sana. Ndio ujifunze. Wakati mwingine usiwe limbukeni wa cheo. Waambie na wenzako.
Umeamua kufanya kampeni kimtindoKuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Ukiona msomi anang'ang'ania kwenye siasa ujue elimu yake ni ya kukariri, kwenye siasa ni blabla tu, huhitaji kutumia akili nyingi, tena kwenye tawala za kiimla ndiyo kabisa, ni mabavu Kwa kwenda mbele.Akijibu na jinyea
Kiuchumi nawahamasisha zaidi walime ALIZETI, COMPARATIVE ADVANTAGE
Mkuu Nguruvi3, kujua nani kamwaga damu ya nani on a line of duty na kutomtaja, hakupelekei karma yoyote kwa Mwigulu Nchemba na kujua huko hakumfanyi yeye kuwa responsible or an accessory before the fact or after the fact.Mwigulu, leo unaona upo vizuri, siku damu zitakapoanza kunuka na ku haunt utaelewa nini uzito wa lita ya damu ukilinganisha na lita ya maji au mafuta.
JokaKuu Pascal Mayalla Mwigulu Nchemba
Nakukubali Sana mheshimiwa utendaji wako sio wakukurupuka siku moja mungu atakujalia kwani tayari mwanzo ulishaonekana mungu akujalie uzima uwatumikie wana irambaKuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mkuu Freddie Matuja, mpe muda, leo ameshinda humu karibu siku nzima.Paskali
Kwanini asijibu Maswali yako ambayo umeuliza public.??
Akitujibu public atafanya vyema sana.
Wasalaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kusoma na kuelimika kisha ukaendelea kuwa mwanaccm ?Duh!
Nawe ni mbunge, 'msomi' mwenye PhD, na mtu uliyewahi kuwa waziri!!
Kazi ipo.
Alitakiwa alete ufafanuzi hapahapa.Halafu we Mwigulu acha utoto we dogo, umeleta uzi hapa jukwaani kwa mbwembwe na ukasema utatoa majibu, saa unataka watu wakufuate ukatolee majibu pembeni!
Kwanini badala ya kuleta uzi hapa usingewaalika watu huko pembeni ukawajibie huko? Huna uwezo wa kujibu maswali ya msingi, na sio ww tu, ni kuanzia mwenyekiti wako mpaka wanaccm wenzako wote. Ndio maana mnaishi kwa kujipendekeza ili mpate ulaji.