Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

dah ni pigo kubwa sana la CHADEMA ikiwa ni siku chache tu baada ya MWAMBE na SUMAYE kuhamia CCM haiya kazi ndo kwa kwanza imeanza ikiwa ni dakika ya tatu ya mchezo mpaka tukafike 45 sijui itakuaje
 
Madaktari njaa sana aiseeeh! Hawaoni aibuu!?

Actually huyu alishaunga juhudi toka akiwa Katibu Mkuu CHADEMA, anachofanya ni kuhitimisha tu!

Kama kuna mtu anajua Mashinji akiwa katibu mkuu alifanya kipi kuimarisha CHADEMA aniambie! Karibu kundini
Ngonjera za Vibendera hahahah
 
Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
Nimesikia si Muda Mrefu viongozi wawili mbali na huyu wa Kitaifa wa Chadema muda si Mrefu wanamkimbia Mbowe, Wamedai kuwa ni Mtu hatari sana kwenye Carrier zao za Kisiasa. Wanasema Mtu akithubutu kutoa ushaur ambao unaenda kinyume na mawazo ya Mwenyekiti wanatumwa kikosi cha Mbow kilichotandika Makam.

Stay on tune, Kuna Mambo mengi yanaendelea huko Ufipani, na Mbow anaweza anajikuta yupo peke yake 😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆
 
dah ni pigo kubwa sana la CHADEMA ikiwa ni siku chache tu baada ya MWAMBE na SUMAYE kuhamia CCM haiya kazi ndo kwa kwanza imeanza ikiwa ni dakika ya tatu ya mchezo mpaka tukafike 45 sijui itakuaje
Wataelewa tu
Kule hakuna Chama kuna Wachumia tumbo tu
Eti chama cha Demokrasia
Demokrasia ya Maandishi uhalisia Zeri
 
Yaani mh Mbowe akuombe radhi wewe gamba mramba miguu wa chakubanga?
Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.


Atuombe radhi.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom