Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dk.Vincent Mashinji amehamia CCM rasmi hii leo tarehe 18 mwezi wa 2 mwaka 2020.

My take:
Haya mambo ya hamahama yanawaathiri sana Chadema hata kama wanapinga, na unabii wa Dr.Slaa unatimia ndani ya miaka mitano .
84968325_586008955319374_5060700613821285775_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi ( Wabunge ) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?

Hapo ndipo tunasubiri kuona itakuwaje.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom