Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Hivi kuna Mungu wa Moses kumbe?
Ndiyo yule aliyesema chongeni sanamu ya nyoka kisha mkiitazama mtapona?
Kamsome tena Mungu wa Moses mkuu Mudawote
 
Surat Al -Ambiyaa (21: 16/19)
Na hatukuziumba mbingu na Ardhi na vilivyomo Bains Yao kwa mchezo.
Na ni vyake tu Mwenyezi Mungu vilivyomo mbinguni na katika Ardhi. Na walioko kwake hawafanyi kiburi wakaacha kumuabudu na wala hawachoki.

Ukisoma vizuri hiyo sura nadhani utaelewa vizuri ninachokiuliza.Maelezo katika hiyo sura yanaonesha kabisa kwamba kuna watu wanamzungumzia Mungu na sio Mungu anajizungumzia yeye mwenyewe ..Je hao watu ni akina nani??
 
Huijui Quran wewe. Kama kuna watu unaona wanamzungumzia Mungu kwenye Quran basi hata Bibilia vivyo hivyo. Soma Isaya 66:17. Hapo anaongea Mungu au kuna mtu anamwongeleshea Mungu?
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.

ALLAH akuzidishie Elimu Akhy.
Umeeleza vizuri mno.
Hata sijui kwanini Masufi wanapenda kuiga iga.
 
Acha kashfa kichokua msikitini sio pambo

Akhy kama si pambo ni nini?
Waulize walioweka wametoa wapi,kwani sisi hatufanyi jambo ila tuwe na dalili katika Qur'an,sunnah au kutoka kwa watangulizi wema. Kisha uje upinge kuwa si pambo
 
Zingekuwa hazina maana yoyote wasingeziweka. Nani atakuamini ukisema Jembe na Nyundo kwenye bendera ya CCM hazina maana yoyote???
Zina Maana gani?
Usiwe jaahili. Sisi tunatakiwa ku rely katika quran na sunna na maneno ya watangulizi wema,
Sasa kwakuwa hatufanyi jambo ila liwe limethibiti ,tunaomba tuwekee hapa dalili ya nyota na mwezi mmetoa wapi,na ndio maana kuna misikiti haina hizo alama,tembelea misikit yote ya ahli sunnah wal jamaa
 
Aqydah in its place!
 
Bwana Lukac,
Unapaswa kuelewa kuwa Allah ndiye mtaalamu wa Lugha na majazi yake. Wakati mwingine Huzungmza kwa nafsi yake Yeye Mwenyewe, au Kuonyesha wingi, au kuzungumza kwa niaba ya mwingine. Haibadilishi chochote Kwani Qur'an nzima ni Maneno yake yasiyo na shaka kabisa. Hufanya apendavyo na Wala haulizwi na hapangiwi Cha kusema. Elewa hivyo Wala usijitie katika mashaka yasiyokuwa na tija.
Malyenge amekufafanulia kwa vizuri. Appreciated to him!
 
We
Huijui Quran wewe. Kama kuna watu unaona wanamzungumzia Mungu kwenye Quran basi hata Bibilia vivyo hivyo. Soma Isaya 66:17. Hapo anaongea Mungu au kuna mtu anamwongeleshea Mungu?
Jamaa unachekesha kweli,hiyo sura uliyoandika ya Isaya inahusiana na nini na mada inayoongelewa..Basi ungeweka na sura inayomtaja ngamia
 
Hapa pagumu sana kupaelewa,anazungumzaje kwa niaba ya mwingine??
 
We

Jamaa unachekesha kweli,hiyo sura uliyoandika ya Isaya inahusiana na nini na mada inayoongelewa..Basi ungeweka na sura inayomtaja ngamia
Unachekesha wewe usiyeelewa maandiko. Z....e.....z.....e.....t.....a
 
Huijui Quran wewe. Kama kuna watu unaona wanamzungumzia Mungu kwenye Quran basi hata Bibilia vivyo hivyo. Soma Isaya 66:17. Hapo anaongea Mungu au kuna mtu anamwongeleshea Mungu?
salamaleko malyenge!
 
Hapa pagumu sana kupaelewa,anazungumzaje kwa niaba ya mwingine??
Mimi nasema hivi:
Hata wewe sasa hivi unaongea kwa niaba ya mwingine.Ingekuwa ni wewe unayeongea,kwa vile hatukuoni,ungeandika "mimi nasema....", halafu ukasema unachotaka kusema.
 
Siyo SALAMALEKO. Sema ASALAAM ALEYKUM.
Soma Yohana 20: 19 . Ina maanisha AMANI IWE KWENU

Kumbee... Kwani Hata bondwa kufanikiwa kukamata kifaranga cha kuku anajisikia Amani ati!
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah
Hahahaa
 
Mnasema uislam ni dini inayofuata muongozo wa Quran na sunna " za mtume " sasa kama mmefikia hatua ya kuweka mpaka alama ambazo hazipo katika muongozo huo wa Quran na sunna za mtume " tutaamini vipi kwamba hiyo Quran yenu haijatiwa vidole na kubadilishwa baadhi ya maandiko kwaajili ya matakwa ya watu " ......

Hakika hili la nyota na mwezi linapaswa kuifanya dini yenu itiliwe shaka
 
Kama ambavyo tunatilia shala msalaba na sanamu la bikira maria.
 
Back
Top Bottom